Octopus concept hotel in Dubai .....

Octopus concept hotel in Dubai .....

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
970178_531868413521588_338784968_n.jpg
 
Wenzetu wanaishi,ndio maana rais wangu dhaifu kila siku safari haziishi we unadhani ukipata chance ya kulala hotel kama hiyo utaacha?
 
Tatizo Tsunami ikija sasa!! hachomoki mtu hapo, hiyo man-made island naona wameiamini sana, siku zote natural z good, kujaribu kutengeneza kisiwa kwa kufata principles za physics sisemi ni mbaya ila duh, kama land ambayo juu sana na ukanda wa bahari ikitokea tsunami inatandikwa, je hii ambayo ipo level moja kabisa, Africa iliyobarikiwa ni mambo kama haya hayatokei japo madoro sasa,
 
Hawa jamaa wako mbali sana kimaendeleo,hoteli za kuzunguka wao wenyewe daaa basi bana sisi ngoja tulete malikia ili tudeki barabara zetu lol!
 
Hapo ni hela tuu sisi tukichukua maamuzi magumu tufanye bandari zetu free port mbona miaka miwili tuu tutaweza hayo?
 
Watu wanakula maisha hapa duniani... Hivi kweli tuta-Hukumiwa sawa jamani?..
 
Kumbe bado haijajengwa nilijua kitu tayari lol!!!!!!!

Design nyingi huwa zinaishia mezani tuu kutokana na gharama za ujenzi au uwezekano wenyewe wa Structure kisimama kama chache tu za sababu nyingine.

Usijali lakini, hii kitu ikisimama nitakustua tukaangalie 'fursa' hapo!
 
Design nyingi huwa zinaishia mezani tuu kutokana na gharama za ujenzi au uwezekano wenyewe wa Structure kisimama kama chache tu za sababu nyingine.

Usijali lakini, hii kitu ikisimama nitakustua tukaangalie 'fursa' hapo!

Hahaa Dont Forget........
 
Back
Top Bottom