October to remember

Asante sana mkuu wangu umeiweka vema sanašŸ™šŸæāœŒšŸæ
 
Kamwe Mungu hawezi kumpa madaraka mpumbavu wa namna hii aliyejaa uongo, chuki na ubaguzi. Mtaishia hivyo hivyo kuzishazusha uongo wenu wa ajabu ajabu basi. Samia mtaendelea kumuona mtake msitake
 
Hahahahaaaa! Pole sana kaka mkubwa.
 
Huna akili hebu nenda TikTok huko kwa nyumbu wenzio mkaebdeleecna mipango ya maandamano yenu, ni oktoba mosi Leo.....Bado siku 27
Hizo akili ulizo nazo wewe ziko wapi, mbona hapa haionyeshi kuwa unaandika kwa kutumia akili!

Uhakika nilio nao ni huu; kwamba Samia ni mtu mwovu; mtu asiye na nia njema na taifa hili. Anatumia hila na kutegemea mabavu kubaki madarakani.
Mimi namwonya tu, yeye ni binaadam tu kama wengine wote. Asione hiyo mitutu ya bunduki ikimzunguka na kusahau kuwa mitutu hiyo hiyo inaweza kugeuziwa kwake wakati wowote.

Asilazimishe kutawala watu wasiotaka awatawale.
 
Tulia nyumbu, mbona tunaompenda hatujalazimishwa na yeyote?!!! Tunampenda sababu hatujaona baya lake kuwazidi waliomtangulia.......zinapozidi hizi kelele hizo kutoka kwa haters wake ndipo mashaka yetu yanapozidi kuwa Kuna kitu kipo nyuma ya pazia. Na hiko kitu tumeshakijua; udini na ukanda......tutamlinda kama tulivyolinda wengine waliomtangulia, kwa haki kabisa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani wewe ulidhani tulikuwa hatujui sababu ya nyinyi kumzobokea (wala siyo kumpenda).

Wewe tokea mwanzo kabisa nilijuwa ulipokuwa umejifichia, sasa naona imalazimu ujitokeze mazima mazima kwa vile maji yamewazidi!
Kwa kuwa wewe unampenda kiongozi kwa sababu za imani yake, usitake kugeuzia wengine wote wawe wapuuzi kama wewe.
Ninayo orodha nzima humu JF mnaompigania Samia, si kwa sababu ya uongozi wake bali kwa misingi ya kuwa mtu wa dini yenu. Tanzania hatuhitaji kiongozi wa dini. Kama mnamtaka kwa sababu ya udini wake, mpeni nyumba ya ibada akatumike huko.
 
Mzee bila dola ccm hamna kitu.

Pesa pesa pesa.

Huko kaskazini mlikoamini kuna wasomi wengi, wana exposure ndio huko wamekua mazumbukuku wa chama tawala kisa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…