WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4.
Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha akubali kufanya nae mapenzi.
Tayari mkuu wa polisi wa wilaya ya Geita amekwenda jana kwenye eneo la tukio.
Endelea kufuatilia hapa JF.
=========================
UPDATES
Kamanda wa polisi amethibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kwamba Askari huyo anashikiliwa na polisi katika kituo kikuu cha Geita kwa mahojiano zaidi nantayari amefunguliwa jalada na anaendelea na mashitaka ya kijeshi.
Kwa taarifa zaidi, soma=> Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) akamatwa kwa ‘kumbaka' mwanafunzi