OCD Kigoma mjini ni jipu amulikwe

Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
336
Mda huu nimeshangazwa na maagizo ya OCD Kigoma mjini kufunga night club ya lake view eti aina kibali cha kupigisha disco. Ilikuwa tafrani walipokuwa wanachukuliwa baunsa, Dj na mmiliki wa night club.....
Ilianza hivi , askari wa doria wakiongozwa na inspector makaranga, walitaka kuingia disco bure, wakakatliwa mpaka walipe kiigilio ndio sakata likaanzia hapo...wakaamrisha walete vibari vya kupigisha disco, mmiliki wa disco alivotoa vibali alivokuwa navo, katka ukaguz wao wa vibali hivo wakesema havina tarehe...na aliesaini ni inspector sio OCD kwa hyo hawavitambui..wakaamrisha disco lifungwe na hiyo ilkuwa saa 7.15 usiku huu huku kiingilio cha leo ni sh 7000/=

mziki ukazimwa huku wakitafuta muafaka na kulikuwa na askari wengine waliokuja na starehe zao hapo wakaamwambia mmliki wa mzika aendeelee km kawaida.....mara uipogunguliwa tu mziki timu ya doria ikarudi tena na kwa vichapo walichuliwa mmliki na dj na baunsa..waakapakiwa katka landcruser nyeupe... huku inspector makaranga akisema kwa nguvu kuwa ni OCD ametoa amri wakamatwe, na mziki ufungwe...

Najiuliza kama ocd anatoa amri hiyo usiku huu.huku akijua club hii imepewa vibali toka desember na haijawai fungiwa je ni kweli atambui kibali kilichotoka ofisin kwake? na hii ndio night club pekee kigoma kwa watu kuinjoi.

maamuzi ya OCD KAMA ni kweli yametoka kwake basi yana hisia binafsi...ndio maana nathubutu kusema JIPu......
 
Haya ni majipu.yaani Wacheza pool wanaambiwa mwisho saa 1:00 usiku.wafunge.lakini kuna watu wanakesha bar.watuacheni maskini tutafute kile kidogo bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom