OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

Tambua maana ya Geographical jurisdiction ndo ntaweza jua kwanini huyo OCD hajatoa dhamana. kifupi ni kwamba ukitenda kosa Tabora ukakamatiwa Mtwara lzma utarudishwa Tabora kujibu shtaka linalokukabili.

mfano wako hauna nguvu.kumbuka kosa limefanyika wilaya ya kishapu,sema kampuni inakwepa gharama ya kufungulia file waliko watuhumiwa
 
usijibu vitu usivyoelewa,katafute CPA (Criminal procedure Act) usome utaelewa nn nasemea.

hapo ndo tnashindwa kuelewana,kinachotumika hapo ni civil procedure act wala si criminal procedure act,huwez kutumia hiyo kwa kuwa ni civil case
 
Back
Top Bottom