Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Huyo OCD hana cha kujigamba, manake hana tofauti na Mbwa, mwenye mbwa akimwambia mbwa abweke atabweka tu......
Kuikomboa Tanzania tuitakayo hatuna budi kukumbana na vituko kama hivyo!
Huyo OCD hana cha kujigamba, manake hana tofauti na Mbwa, mwenye mbwa akimwambia mbwa abweke atabweka tu......
Kuikomboa Tanzania tuitakayo hatuna budi kukumbana na vituko kama hivyo!
Mbona Kinana hakamatwi???
Mbona Kinana hakamatwi???
Kumbe mbwa kama hawa bado wapo? Wenzao wanapochinjwa mbona huwa wanaufyata?
Na akitaka kuthibitisha maneno yako, na awaulize polisi wa Nigeria.Miezi 4 ijayo huyo ocd atakuwa chini ya utawala wa CHADEMA/UKAWA hivyo serikali makini itaweka mfumo utakaowafanya polisi kutenda majukumu yao kwa Weledi mkubwa na kuacha ushabiki wa kisiasa unaoweza kuleta machafuko.
Huyu ocd ni zao la mfumo mbovu wa ccm unaowafanya polisi kuwa mawakala wa chama tawala