OCCID Makambako asipoonywa ataleta madhara

OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na polisi, yeye ni kama mungu mtu pale, sijui ni kwann Mahakama inaweza ikatoa tamko kuwa mtu hana hatia lakini yeye akamtia tena nguvuni na kumuundia tatizo jingine.

Hakuna anaemuhitaji si polisi wenzie mpaka sisi wananchi, kiukweli tumechoshwa na tabia zake yeye kikubwa kwake ni kutafuna wanawake wa wenzie na ukionekana karibu na wanawake hao jua unakutana na majanga,asipichukuliwa hatua za mapema atasababisha vurugu..

Ni heri wangetuachia OCCID alokuwepo mwanzoni Teddy alikuwa mtenda haki sio huyu.
Nina wasiwasi na wewe new member kuna uwezekano mnagombea mwanamke na Sudi au amekubana sehemu na hupumui. Kama una malalamiko peleka kwa viongozi wake pamoja na ushahidi
 
Wee jamaa umejiunga jf purposely kwa ajili ya kumchafua tu Sudi, mm binafsi sijaona utofauti wa tabia ya sudi na askari wengine.

Nachojua mm Sudi ni malaya just like you na mm, sudi anapenda rushwa na hiyo ni jadi ya police wote. Sudi anapenda kujikomba kwa matajiri wa Makambako na hiyo ni jadi ya police yoyote, sudi anapenda akishikilia kesi ya mtu anakomaa nayokisawasawa na ndiyo sababu kubwa ya wengi kutompenda Mk.

Nilitegemea uwataje wapuuzi kama akina Silvester wanaokesha na kushinda bar kufanya umalaya na umbea muda wote kua wahamishwe, we umekomaa na sudi.

Police wenzie hawampendi kwasababu ni mchapakazi na hataki ujinga ujinga .. unless uniambie unamtaka Rehema na unaona Sudi amekuzibia....

Wito kwa RPC na IGP, mpeni promo Sudi awe hata Ocd Makambako.......

Piga kazi Isaya ila punguza kidogooooo rushwa na umalaya brooo
Aisee unamsema rehema Mwigulu... Duuu kumbe Sud anatafuna mke wangu, aiseee dunia haina haki

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na polisi, yeye ni kama mungu mtu pale, sijui ni kwann Mahakama inaweza ikatoa tamko kuwa mtu hana hatia lakini yeye akamtia tena nguvuni na kumuundia tatizo jingine.

Hakuna anaemuhitaji si polisi wenzie mpaka sisi wananchi, kiukweli tumechoshwa na tabia zake yeye kikubwa kwake ni kutafuna wanawake wa wenzie na ukionekana karibu na wanawake hao jua unakutana na majanga,asipichukuliwa hatua za mapema atasababisha vurugu..

Ni heri wangetuachia OCCID alokuwepo mwanzoni Teddy alikuwa mtenda haki sio huyu.
Asante kwa taarifa , maadam imefikishwa hapa tutafanya fitna mpaka ang'olewe hapo .
 
inaonekana makambako imewaka moto,ngoja nije, wasalimieni mtwango

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Ndio umekuja kumharibia huku

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Wee jamaa umejiunga jf purposely kwa ajili ya kumchafua tu Sudi, mm binafsi sijaona utofauti wa tabia ya sudi na askari wengine.

Nachojua mm Sudi ni malaya just like you na mm, sudi anapenda rushwa na hiyo ni jadi ya police wote. Sudi anapenda kujikomba kwa matajiri wa Makambako na hiyo ni jadi ya police yoyote, sudi anapenda akishikilia kesi ya mtu anakomaa nayokisawasawa na ndiyo sababu kubwa ya wengi kutompenda Mk.

Nilitegemea uwataje wapuuzi kama akina Silvester wanaokesha na kushinda bar kufanya umalaya na umbea muda wote kua wahamishwe, we umekomaa na sudi.

Police wenzie hawampendi kwasababu ni mchapakazi na hataki ujinga ujinga .. unless uniambie unamtaka Rehema na unaona Sudi amekuzibia....

Wito kwa RPC na IGP, mpeni promo Sudi awe hata Ocd Makambako.......

Piga kazi Isaya ila punguza kidogooooo rushwa na umalaya brooo
Reading between the lines I can say that the policemen has lost his integrity through his conducts in that very small but vibrant community. Shame

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu anayewafahamu watu wa Makambako ataamini kitu kutoka kwenu. Makambako inafahamika kwa majungu, uwongo, ujambazi, uchawi, vitisho, ushamba, dhurma na hila za kulazimisha watu wafuate ubaradhuril wenu. Mnajulikana kwa kulazimisha viongozi waache kufanya kazi kwa misingi ya kazi zao badala yake wafuate mtakacho ninyi. Ni watu mliojaa wizi, wivu, fitina na kila aina ya ubaradhuri.

Nimepata habari za hapo Makambako hadi zinatisha. Kama unabisha, nitajie ni viongozi wangapi waliofanya kazi hapo kwa kufuata sheria na taratibu mliowaacha salama? Meua taaluma za watu wangapi kwa kuwaingiza kwenye uovu wenu na hatimaye wamepotea?

Hakuna kiongozi mwenye busara atawatetea Makambako. Nani hajui kwamba huko kwenu ni kisiwa cha uharifu wote kuanzia wa kiroho, kisheria na kibinadamu? Jiangalieni kwanza.

Sekta zenye wafanyakazi Makambako ni vizuri zikawa makini sana na majungu yenu. Makambako hamtaki kufuata sheria. Kla mtumishi mzuri mnampiga vita. Waajiri wanatakiwa kuwalinda sana wafanyakazi wanaosemwa vibaya Makambako.
Lakin na wewe bado una deni la kuuthibitishia umma kuwa hayo ni majungu maana mtu mmoja hawezi lalamikiwa na watu zaid ya 10 kwa tuhuma hizo hizo kwa nyakati tofauti halafu mpumbavu mmoja anaibuka kwa ujinga wake anasema ni majungu badala ya kujikita kufanya uchunguzi kwanza wa tuhuma hizo ili kujiridhisha kama ni majungu ama laaa,

maana tangu nimeanza kupitia uzi huu wengi wana msema hovyo huyo mtu lakin wewe na wenzio wachache msio na akili maana mnakurupuka eti majungu kwa nini yawe majungu ikiwa kila mtu ana mlalamikia??? Hakika huyo yapaswa achunguzwe kwa kina kabla ya kuafikiana na yeyote kati yenu na kwa hakika kazi hiyo imesha anza na ninacho shukuru taarifa zake zimesha anza kuwafikia wahusika maana nimesikia wakiongelewa sehemu na si yeye tu kuna wenzie pia ma RPCs na OCDs
 
Wewe ni mpumbavue. Ujaua maana ya syndicate na watu wa Makambako walivyo? Unajua Makambako ni kijiji kidogo kinachomilikiwa na koo ziszozidi tano tu? Unaongea nini?

Wewe fanya uchunguzi huo kama hujui. Nimeshasema kama ni habari za kweli aende kwa OCD, RPC, au amwandikie IGP na ajipambanue ana kwa ana badala ya kuleta mitandaoni huku akificha identify yake sahihi. Haya ni majungu. Nani haijui mijitu ya Makambako? Sibishani na mtu asiyejua kama hajui. Nikuletee ushahidi wa upumbvue wa Makambako wewe nani?
 
Ndio umekuja kumharibia huku

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wenghine kwakweli wacha waharibiwe tu huku maana kama jeshi letu la polisi ndio haliaminiki kabisaaaaa unaweza kumtafuta huyo RPC ndio ukawa umeyaweka maisha yako rehani maana hawa watu naujua utendaji wao kazi sana tu , ikiwa askari anaweza kuua raia kisha raia akatengenezewa tuhuma na OCD kuwa alikuwa anataka kupambana na askari ilihali raia huyo hakuwa hata na wembe achilia jiwe na risasi imeimngilia mgongoni kuna jema hapo kweli kwa hawa askari wetu dhid ya raia wake??? Hapana ikibidi bora tu waanikwe huku ili kila ajuae kusoma asome tabia zao
 
Wewe ni mpumbavue. Ujaua maana ya syndicate na watu wa Makambako walivyo? Unajua Makambako ni kijiji kidogo kinachomilikiwa na koo ziszozidi tano tu? Unaongea nini?

Wewe fanya uchunguzi huo kama hujui. Nimeshasema kama ni habari za kweli aende kwa OCD, RPC, au amwandikie IGP na ajipambanue ana kwa ana badala ya kuleta mitandaoni huku akificha identify yake sahihi. Haya ni majungu. Nani haijui mijitu ya Makambako? Sibishani na mtu asiyejua kama hajui. Nikuletee ushahidi wa upumbvue wa Makambako wewe nani?
Usiwe mkali wala usitoke mapovu meeengi bila sababu za msingi utaumwa njaa bureee na ninadhani kinacho kusumbua wewe ni udogo wa mawazo tu na si kingine hii ni njia pia ya kufikisha ujumbe ,

mbona zikiletwa tuhuma za ma Dr na manesi au walimu huwa hatoi hayo mawazo ??? Umeguswa eeeee!! Maumivu yaleyale unayo yapata wewe baada ya uchafu wenu kuanikwa mtandaoni ndiyo hayo hayo ambayo ma daktari, manesi na walimu huwa wanayapata kwa kuandikwa mapungufu yao mitandaoni na wewe ukiwa mchangiaji mzuri kwa kukejeli hahahaaa, ni lazima muanikwe mitandaoni maana ndio mahali sahihi na salama kaisi kuliko hiyo uliyo shauri wewe ya kuwaona hao ma RPC na IGP maana kwa kufanya hivyo huenda maisha ya mtoa taarifa yanaweza kuwa mashakani hasa nikifuatilia historia ya utendaji wa askari wa tanzania na tabia zao.
 
Unfortunately mimi siyo mkaaji wa mtandaoni hapa. Ninachokiona na kukielewa ndiyo nakiandikia. Siwezi kukurupuka kuandika kila kitu hata kile nisichokielewa.

Uswahili peleka mikekani.
Kwa akili zako unadhani na mimi ni askari polisi. Pumbavue sana mtu ukiwa na mawazo finyu.

Ninaongelea habari za tabia za watu wa Makambako kwa kuwa nazifahamu. Unachotaka kujua nini nini zaidi? Unadhani kuna RPC au OCD atafanya kazi ya kumuadhibu mlalamikiwa bila ushahidi? Nimesema ni bashite tu kama wewe ndiye anaweza kufanya hayo.

Kama unadhani makampuni yote na idara zote zinaongozwa na bashite, lalamika bila kuwasilisha ushahidi ujue tofauti ya uongozi wa Bashite na wa wasomi.

Huwezi kunilazimsha eti niwe na shinda mitandaoni kutafuta nani kaandikwa na hata kama sina taarifa sahihi za jambo nichangie tu. Mimi siyo BASHITE. Ishia basi.
 
Hakuna mtu anayewafahamu watu wa Makambako ataamini kitu kutoka kwenu. Makambako inafahamika kwa majungu, uwongo, ujambazi, uchawi, vitisho, ushamba, dhurma na hila za kulazimisha watu wafuate ubaradhuril wenu. Mnajulikana kwa kulazimisha viongozi waache kufanya kazi kwa misingi ya kazi zao badala yake wafuate mtakacho ninyi. Ni watu mliojaa wizi, wivu, fitina na kila aina ya ubaradhuri.

Nimepata habari za hapo Makambako hadi zinatisha. Kama unabisha, nitajie ni viongozi wangapi waliofanya kazi hapo kwa kufuata sheria na taratibu mliowaacha salama? Meua taaluma za watu wangapi kwa kuwaingiza kwenye uovu wenu na hatimaye wamepotea?

Hakuna kiongozi mwenye busara atawatetea Makambako. Nani hajui kwamba huko kwenu ni kisiwa cha uharifu wote kuanzia wa kiroho, kisheria na kibinadamu? Jiangalieni kwanza.

Sekta zenye wafanyakazi Makambako ni vizuri zikawa makini sana na majungu yenu. Makambako hamtaki kufuata sheria. Kla mtumishi mzuri mnampiga vita. Waajiri wanatakiwa kuwalinda sana wafanyakazi wanaosemwa vibaya Makambako.
yeye huyu

iPhone 6
 
Nina wasiwasi na wewe new member kuna uwezekano mnagombea mwanamke na Sudi au amekubana sehemu na hupumui. Kama una malalamiko peleka kwa viongozi wake pamoja na ushahidi
MTU mgeni kutoka 2012

iPhone 6
 
Wewe ni mpumbavue. Ujaua maana ya syndicate na watu wa Makambako walivyo? Unajua Makambako ni kijiji kidogo kinachomilikiwa na koo ziszozidi tano tu? Unaongea nini?

Wewe fanya uchunguzi huo kama hujui. Nimeshasema kama ni habari za kweli aende kwa OCD, RPC, au amwandikie IGP na ajipambanue ana kwa ana badala ya kuleta mitandaoni huku akificha identify yake sahihi. Haya ni majungu. Nani haijui mijitu ya Makambako? Sibishani na mtu asiyejua kama hajui. Nikuletee ushahidi wa upumbvue wa Makambako wewe nani?
Ni
Unfortunately mimi siyo mkaaji wa mtandaoni hapa. Ninachokiona na kukielewa ndiyo nakiandikia. Siwezi kukurupuka kuandika kila kitu hata kile nisichokielewa.

Uswahili peleka mikekani.
Kwa akili zako unadhani na mimi ni askari polisi. Pumbavue sana mtu ukiwa na mawazo finyu.

Ninaongelea habari za tabia za watu wa Makambako kwa kuwa nazifahamu. Unachotaka kujua nini nini zaidi? Unadhani kuna RPC au OCD atafanya kazi ya kumuadhibu mlalamikiwa bila ushahidi? Nimesema ni bashite tu kama wewe ndiye anaweza kufanya hayo.

Kama unadhani makampuni yote na idara zote zinaongozwa na bashite, lalamika bila kuwasilisha ushahidi ujue tofauti ya uongozi wa Bashite na wa wasomi.

Huwezi kunilazimsha eti niwe na shinda mitandaoni kutafuta nani kaandikwa na hata kama sina taarifa sahihi za jambo nichangie tu. Mimi siyo BASHITE. Ishia basi.
Hahaaaa vichaa wengi awamu hii, pole ndugu punguza mapovu basi umeshikwa eeee!!!
 
Weweni pumbavue nimekuambia. Saizi yako ngoma za vigodoro. Pumbaveu kwlei kwlei. What do you know about leadership? What do you know about labor laws? Unachojua ni majungu ya kipumbvue. Nenda shule usituletee ubashite wako hapa.

Kama hata huwezi kuelewa hoja ndogo kama hii, unadhani mipasho ni elimu, bila shala wewe ni lipumbavue kweli kweli.

Potea basi!
 
Back
Top Bottom