OCCID Makambako asipoonywa ataleta madhara

Acha na wewe nikutoe tongo tongo
OCD- OFFICER COMMANDING DISTRICT MKUU WA POLISI WILAYA.
hapo kwa OC CID umepatia
haa haaa mkuu yani umezunguka afu umerudi kule kule,
Mkuu wa Polisi wa Wilaya ndio Mkuu wa Kituo
 
Kwa maoni ya mtoa mada na wachangiaji wote huyu anaonekana ni tatizo muonyeni kua si zama hizi asipotaka kuelewa ataelewa bila kupenda soon
jamaa yuko vizuuri kwenye mambo yetu Yale. mwaka jana wamehamishwa zaidi ya askari kumi akiwemo ocs lakini yeye pamoja na makelele yote ya raia bado yumo
 
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na polisi, yeye ni kama mungu mtu pale, sijui ni kwann Mahakama inaweza ikatoa tamko kuwa mtu hana hatia lakini yeye akamtia tena nguvuni na kumuundia tatizo jingine.

Hakuna anaemuhitaji si polisi wenzie mpaka sisi wananchi, kiukweli tumechoshwa na tabia zake yeye kikubwa kwake ni kutafuna wanawake wa wenzie na ukionekana karibu na wanawake hao jua unakutana na majanga,asipichukuliwa hatua za mapema atasababisha vurugu..

Ni heri wangetuachia OCCID alokuwepo mwanzoni Teddy alikuwa mtenda haki sio huyu.

Hakuna mtu anayewafahamu watu wa Makambako ataamini kitu kutoka kwenu. Makambako inafahamika kwa majungu, uwongo, ujambazi, uchawi, vitisho, ushamba, dhurma na hila za kulazimisha watu wafuate ubaradhuril wenu. Mnajulikana kwa kulazimisha viongozi waache kufanya kazi kwa misingi ya kazi zao badala yake wafuate mtakacho ninyi. Ni watu mliojaa wizi, wivu, fitina na kila aina ya ubaradhuri.

Nimepata habari za hapo Makambako hadi zinatisha. Kama unabisha, nitajie ni viongozi wangapi waliofanya kazi hapo kwa kufuata sheria na taratibu mliowaacha salama? Meua taaluma za watu wangapi kwa kuwaingiza kwenye uovu wenu na hatimaye wamepotea?

Hakuna kiongozi mwenye busara atawatetea Makambako. Nani hajui kwamba huko kwenu ni kisiwa cha uharifu wote kuanzia wa kiroho, kisheria na kibinadamu? Jiangalieni kwanza.

Sekta zenye wafanyakazi Makambako ni vizuri zikawa makini sana na majungu yenu. Makambako hamtaki kufuata sheria. Kla mtumishi mzuri mnampiga vita. Waajiri wanatakiwa kuwalinda sana wafanyakazi wanaosemwa vibaya Makambako.
 
unachosema ni kweli mkuu..mm mwenyewe napita sana makambako na namfahamu vizuuri. videmu vipolisi vikinnyima kidudu anawaekea gubu na kuwanyanyasa.

kwa rushwa kwakweli ni tatizo, kamsababisha hadi askari mmoja anaitwa zacharia kafukuzwa kazi elhali mchongo ulikua wa sudi ..

Acha uwongo wewe. Hivi kwa kupita tu, utajua habari za mademu wakimkatalia mtu anawatesa na kuwanyanyasa? Huu si ndio ushahidi namna gani hii habari imeandikwa hapa kwa majungu na wewe unathibitisha namna gani ni sehemu ya haya majungu?

Makambako majungu na fitina za watumishi wema haziwezi kuwasaidia wala kuwaacha salama. Fuateni sheria. Mnafahamika.
 
mfa maji wewe....lazima utumbuliwe we sudi
 
sudi hana utumishi wema wwte zaidi ya rushwa na ngono. nkisema kupita simaniishi nlipita bali ni sehemu nliyokaa hata kwa huo mda mchache basi nimemfahamu vema.

usimtetee na kama unampenda basi mshauri ajirekebishe
 
mfa maji wewe....lazima utumbuliwe we sudi

Bila shaka hakuna mwajiri mpumbavu atakayepelekeshwa na majungu yenu. Makambako mnafahamika. Mngelikuwa na hoja ya kweli kwa nini hampeleki hadharani kwa mkuu wake wa kazi? Makambako hakuna OCD? Njombe hakuna RPC? Huna namba za IGP? Kwa sababu ni majungu na uwongo, ndiyo sababu mnakuja hapa mtandaoni huku mkificha sura zenu. Nenda kwa OCD uso kwa uso ukatoe malalamiko yako, huku mkihojiana ana kwa ana. Kinyume cha pale Makambako mna taji la majungu, rushwa, vitisho ujambazi, uchawi na kila aina ya hujuma kwa maisha ya watu na taaluma za wafanyakazi safi!.

Atakayemtumbua SUDI kwa tuhuma za makambako basi atakuwa bashite!
 
sudi hana utumishi wema wwte zaidi ya rushwa na ngono. nkisema kupita simaniishi nlipita bali ni sehemu nliyokaa hata kwa huo mda mchache basi nimemfahamu vema.

usimtetee na kama unampenda basi mshauri ajirekebishe

Watu wa Makambako wanasifa ya kuheshimu kazi za watu, na kuacha kulazimisha watu wasifuate taaluma zao ila wawafuate wanachotaka wao? Kwamba mtu asipowafuata wanamuundia majungu? Usiwatetee.

Kama tuhuma hizi ni za kweli, kuan OCD Makambako, kuna RPC Njombe kwa nini wasipeleke vielelezo vyao vikachambuliwa na kufanyiwa kazi pamoja na maamuzi yakitaalamu? Hawana uhasiri huo kw asababu wanajua ni waharifu hawa!. Makambako kuna maharifu yakutisha na ndiyo hayo hulazimisha watu wasifanye kazi kwa misingi inayotakiwa na wakikataa ama wanatishia kuuawa, ama wanaanzishiwa majungu.

Waajiri wenye wafanyakaiz wako Makambako wawe makini. Huko ni namba nyingine kwa uharifu na kukimbilia majungu!
 
Ngoja nikutoe tongotongo kidogo...
OCD- Mkuu wa kituo
OC-CID- Mkuu wa upelelezi makosa ya jinai,, ila bosi wake ni OCD
Mkuu wa kituo hua ni OCS,na OCD ni polisi mkuu wa wilaya nzima

ploudly ngosha
 
Hakuna mtu anayewafahamu watu wa Makambako ataamini kitu kutoka kwenu. Makambako inafahamika kwa majungu, uwongo, ujambazi, uchawi, vitisho, ushamba, dhurma na hila za kulazimisha watu wafuate ubaradhuril wenu. Mnajulikana kwa kulazimisha viongozi waache kufanya kazi kwa misingi ya kazi zao badala yake wafuate mtakacho ninyi. Ni watu mliojaa wizi, wivu, fitina na kila aina ya ubaradhuri.

Nimepata habari za hapo Makambako hadi zinatisha. Kama unabisha, nitajie ni viongozi wangapi waliofanya kazi hapo kwa kufuata sheria na taratibu mliowaacha salama? Meua taaluma za watu wangapi kwa kuwaingiza kwenye uovu wenu na hatimaye wamepotea?

Hakuna kiongozi mwenye busara atawatetea Makambako. Nani hajui kwamba huko kwenu ni kisiwa cha uharifu wote kuanzia wa kiroho, kisheria na kibinadamu? Jiangalieni kwanza.

Sekta zenye wafanyakazi Makambako ni vizuri zikawa makini sana na majungu yenu. Makambako hamtaki kufuata sheria. Kla mtumishi mzuri mnampiga vita. Waajiri wanatakiwa kuwalinda sana wafanyakazi wanaosemwa vibaya Makambako.
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom