Obama's Criminal Background Check?.....This is Insane

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Kuna habari ambayo nimeisoma na kunisikitisha sana. Inaonekana kuna wamarekani baadhi bado hawajaamini kuwa Rais Barack Hussein Obama ndiye alishinda uchaguzi Mkuu nchini humo November 4th, 2008. Kuna matukio mengi yame kuwa yakitokea kuashiria kuwa hawajakubali kuwa Obama ndiye Rais wao kisheria.

Hebu angalia huu mkasa ambao askari polisi aliamua kutumia computer iliyoko kwenye gari la polisi mjini Philadelphia kuangalia Background check ya Rais Obama.
Soma zaidi hapa chini .....

PHILADELPHIA – Philadelphia's police department is investigating why an officer used his police car's computer to run a criminal background check on President Barack Obama.
Police Commissioner Charles Ramsey said Friday the officer could face discipline for performing the check Wednesday morning. The Secret Service alerted the department after it learned about the incident from National Crime Information Center.
Ramsey says he wants to know what the officer has to say for himself. Police didn't release the officer's name, but he remains on duty.
Two Atlanta-area police officers are accused of a similar unauthorized background check on the president July 20. DeKalb County officers Ryan White and C.M. Route were placed on paid administrative leave.

Source; AP

Ukijaribu kuangalia utaona kuwa si polisi mmoja tu ambaye amewahi kufanya hivi. Jee huu si ubaguzi wa rangi ukizangatia kuwa hao polisi hawakuwa na mamlaka ya ku-access info za mkuu wa nchi hiyo.
Toa maoni yako
 
Hapo ndipo ngozi nyeusi mjue kuwa sisi ni kizazi kisichohitajika humu duniani. This is exactly some of the mzunguz wishes towards us. Kuna mzunguz and people of other race nadhani kama ingekuwa possible wangeandama kwa Mungu kuomba ngozi nyeusi itoweshwe kwenye uso wa dunia.
 
Mkuu Indume Yene kwa kweli inasikitisha sana,Mara ya kwanza nilipoisikia hii habari niliingia woga,Wazungu wengi ni Wabaguzi, hichi kitendo cha Barack Obama kufanikiwa kuwa Rais wengi hawakukipenda.Hivi sasa Vitendo vya kibaguzi vinaonekana wazi na kuripotiwa kila mahali.......Hata maandamano na mikusanyiko mingi inayoendelea hivi sasa kuhusu "Bima ya Matibau/Afya" inaendeshwa kibaguzi zaidi,haingii akilini mtu badala ya kulalamika uchaguzi wa Bima anayotaka au Daktari anayemtaka,anabeba Bango lenye maelezo ya kibaguzi na kuhusisha Utawala wa Obama na Usoshalisti.

Bado Ubaguzi wa Rangi ni tatizo kubwa Marekani,Si rahisi mtu aliye nje ya Nchi hii kuliona...Wanatumia vyema vyombo vya habari kuonyesha kama kwamba Ubaguzi hauna nafasi katika Marekani.Hata Rais Obama hana nafasi kubwa ya kuuelezea Ubaguzi, nafikiri kuuzungumza/Kuujadili Ubaguzi ni jambo linaloogopwa kama TUSI,huu ni Utamaduni wa Wamarekani weupe na Weusi,haya mambo ya Ubaguzi hayajadiliwi mpaka litokee tukio linalohusu hali hiyo.
 
ha ha ha jamaa hao wanaangaika tu,it too late now jamaa kashaweka history thats it.

Ni kweli Mkuu ameshaweka historia, lakini huu ni upuuzi mtupu ku-check background wakati FBI walishamaliza hilo wakati anataka kugombea uprezidaa.
 
Hapo ndipo ngozi nyeusi mjue kuwa sisi ni kizazi kisichohitajika humu duniani. This is exactly some of the mzunguz wishes towards us. Kuna mzunguz and people of other race nadhani kama ingekuwa possible wangeandama kwa Mungu kuomba ngozi nyeusi itoweshwe kwenye uso wa dunia.

Tunahitajika sana ila hawezi kukubali kuwa tunahitajika. Si wengi wenye mlengo huu basi tu ni wachache wenye shida na rangi ta chocolate.
 
Mkuu Indume Yene kwa kweli inasikitisha sana,Mara ya kwanza nilipoisikia hii habari niliingia woga,Wazungu wengi ni Wabaguzi, hichi kitendo cha Barack Obama kufanikiwa kuwa Rais wengi hawakukipenda.Hivi sasa Vitendo vya kibaguzi vinaonekana wazi na kuripotiwa kila mahali.......Hata maandamano na mikusanyiko mingi inayoendelea hivi sasa kuhusu "Bima ya Matibau/Afya" inaendeshwa kibaguzi zaidi,haingii akilini mtu badala ya kulalamika uchaguzi wa Bima anayotaka au Daktari anayemtaka,anabeba Bango lenye maelezo ya kibaguzi na kuhusisha Utawala wa Obama na Usoshalisti.

Bado Ubaguzi wa Rangi ni tatizo kubwa Marekani,Si rahisi mtu aliye nje ya Nchi hii kuliona...Wanatumia vyema vyombo vya habari kuonyesha kama kwamba Ubaguzi hauna nafasi katika Marekani.Hata Rais Obama hana nafasi kubwa ya kuuelezea Ubaguzi, nafikiri kuuzungumza/Kuujadili Ubaguzi ni jambo linaloogopwa kama TUSI,huu ni Utamaduni wa Wamarekani weupe na Weusi,haya mambo ya Ubaguzi hayajadiliwi mpaka litokee tukio linalohusu hali hiyo.

Ukijaribu kuangalia kwa undani zaidi hawa wanaokwenda kuandamana ni wale wasiokuwa na Bima ya Matibabu, vilevile ni mlengo wa kulia. Chama chenye mlengo wa kulia nchini humo (Republican) hawakubaliani na mabadiliko kwa sababu wanajua wana-benefit kinoma na Insurance companies. Ni kama miradi yao. Sasa wanatoa resistance lakini hawatoi solution na wala hawatoi habari za ukweli kuhusu hayo mabadiliko. Watake wasitake kutakuwa na mabadiliko tu, naamini Obama ana maana yake kusema with or without GOP, Healthcare Reform will be done. You go Jaruonge....
 
duh! Hawa polisi sasa wananishangaza. Yani wanaacha kutafuta criminals wanaenda kufanya criminal check on Obama? Mtu analindwa na CIA, nk alafu wasiwe wana data zake? Kila mtu anatafuta 15 minutes of fame yake. Haterz wanataka kwenda ku-break news FOX kuwaambia unajua Obama alishaiba hichi na kile! Kusudi wapate umaarufu tu! Wamechoka tu. Let the brother preside...
 
Back
Top Bottom