OBAMA WORST PRESIDENT EVER according to MSNBC,GALLUP ,CNN Polls

OBAMA WORST PRESIDENT EVER according to MSNBC,GALLUP ,CNN Polls

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Habari ndio hiyo kilichobakia ni kusema ni racism .Obama is in deep trouble.Obama afanye nini ili at least amzidi Bush,Bush amemzidi one point.
 
I can see she back on the same again!

Hamtaki kukubali .waandishi woote ni racist ehhhh.ukiona msnbc liberals wanasema Hivyo ujue Hali mbaya mnoooooooo
 
Marekani Rais yeyote huwa hawi na sifa akiwa madarakani. Ila akitoka madarakani.
 
Hii habari imekaa ki-udaku udaku...weka hizo polls humu ndani tuone!
 
Hii habari imekaa ki-udaku udaku...weka hizo polls humu ndani tuone!
Namsaidia mtoa mada kwa dalili.

[TABLE="class: PollingTable"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TREND: Which of these twelve presidents we have had since World War II would you consider the worst president: Harry Truman, Dwight Eisenhower, John Kennedy, Lyndon Johnson, Richard Nixon, Gerald Ford, Jimmy Carter, Ronald Reagan, George Bush Senior, Bill Clinton, George W. Bush or Barack Obama?[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Jul 02 Jun 01
2014 2006

Harry Truman - 1
Dwight Eisenhower 1 -
John Kennedy - 1
Lyndon Johnson 3 4
Richard Nixon 13 17
Gerald Ford 2 2
Jimmy Carter 8 13
Ronald Reagan 3 3
George Bush Senior 2 3
Bill Clinton 3 16
George W. Bush 28 34
Barack Obama 33 na
DK/NA 4 5



[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]37. Do you think Barack Obama has been a better President than George W. Bush, worse, or about the same as President Bush?[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] AGE IN YRS..............
Tot Rep Dem Ind Men Wom 18-29 30-49 50-64 65+

Better 39% 7% 78% 31% 36% 42% 45% 45% 35% 34%
Worse 40 79 4 41 43 38 25 32 48 49
About the same 20 13 16 27 21 19 28 22 17 16
DK/NA 1 1 1 1 1 2 2 1 1 2


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TREND: Do you think Barack Obama has been a better President than George W. Bush, worse, or about the same as President Bush?[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Jul 02 Jan 13 Nov 17 Jul 21 Jan 13
2014 2011 2010 2010 2010

Better 39 46 43 42 43
Worse 40 30 37 32 30
About the same 20 22 19 23 23
DK/NA 1 3 2 3 4


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wanaomuona
Obama hafai ni Marepublican ambao sera zao (uhamiaji) kwenye bunge zinapingwa rais
obama na nilimsika obama akisema kuwa atatumia mamlaka yake kama rais
hicho kitendo kimewaudhi republican
 
Tatizo rais wa marekani huwa hana maamuzi 100%, na ukiweka na u black wake ndo basi tena
 
Aisee ni kama uko ndotoni vile;
Si useme hata kidogo tu.
 
Chuki binafsi tuu,wakitaka wasitake Rais wao ndio huyo......
Nampenda sana huyu Baba,Mungu amlinde na mafisadi...............
 
President mbaya, amechaguliwa kwa mara ya pili mfululizo, duh!
 
Chuki binafsi tuu,wakitaka wasitake Rais wao ndio huyo......
Nampenda sana huyu Baba,Mungu amlinde na mafisadi...............

Unampenda lakini kumbuka anakunywa damu nyingi za watu wasiokuwa na hatia. Labda kama unampenda kivingine
 
Hahaaaa wamarekani hawaamini kama wameongozwa 8 years na black....worst president mbona mlimchagua tena for second term
 
Rais yeyote wa Marekani asiyeonyesha ubabe wa kutosha lazima aitwe dhaifu na siyependwa, hasa akitoka chama cha Democratic. Obama anataka kumaliza vita badala ya kuanzisha au kuendeleza vita. Vile vile maandalizi ya kampeni za Urais yameanza. Vyombo vya habari na kura za maoni ni baadhi ya silaha zinazotumika. Obama amechaguliwa vipindi viwili na anamaliza muda wake. Kitakachoumia, kama kweli ndiyo maoni ya Wamarekani, ni chama chake na si yeye binafsi.
 
Back
Top Bottom