Afrika ubinafsi, ulafi na tamaa ya viongozi ni jipu linalozuia maendeleo ya hili bara. Viongozi wanang'ang'ania madarakani mpaka wanakosa hata nguvu za kukojoa wanajikojolia mikutanoni. Sasa huyu Kikwete na mke wake wana shida gani kama sio tamaa na ulafi tu wa madaraka. Maendeleo kwa nchi kama Tanzania ni ndoto maana viongozi ni wazee hawataki kuwaachia vijana waingie na mawazo mapya; na wanawaingiza watoto wao kwenye mfumo hapo kunakua hamna jipya tena, watoto wanachukua mawazo ya wazee wao waliofeli kipindi chao cha uongozi.