Obama vows action against Russia over election hacks

Kuna mwanaume gani atakae mtisha Urusi...?

Nothing you know, shut up..!! There is no way you can compare U.S millitary muscles to Russia even a bit..

Russia millitary power is only 9% of U.S total millitary budget and power..

Kaa kimya, hujui kitu.. kukariri kubaya sana..!!

Jua na go search, Jeshi la U.S kiuhalisia, plus its Budget then compare to Russia..even there is no COMPARISON.. Acha kelele za uswahilini hapa, na ukiwa mwislam ndio kabisaaa unachukia tu U.S bila sbb.. but kuchukia kwako U.S, usidhanie ndio Russia wana hata ubavu wa kushindana na U.S.. sahau hilo..
 
Mzee mbona unataka kutuharibia uzi na Religious fanaticism zenu
 
Nothing you know, shut up..!! There is no way you can compare U.S millitary muscles to Russia even a bit..

Russia millitary power is only 9% of U.S total millitary budget and power..

Kaa kimya, hujui kitu.. kukariri kubaya sana..!!

Jua na go search, Jeshi la U.S kiuhalisia, plus its Budget then compare to Russia..even there is no COMPARISON.. Acha kelele za uswahilini hapa, na ukiwa mwislam ndio kabisaaa unachukia tu U.S bila sbb.. but kuchukia kwako U.S, usidhanie ndio Russia wana hata ubavu wa kushindana na U.S.. sahau hilo..
Mkuu sasa kama unaipangia nyumba michepuko hapa mjini, unawasomeshea watoto wao, una honga honga tu ili mradi upate nyapu, kwa nini bajeti yako isiwe kubwa dhidi ya yule mwenye mke wake mmoja? Tena utahakikisha unaimudu bajeti hiyo kwa ghalama zozote hata ikibidi kudhulum, kuiba hata kula rushwa ili mradi tu bajeti yako iweze kukimu mahitaji yako hayo.
Pamoja na bajeti kubwa kiasi hicho, hicho si kiashiria kwama uchumi wako ni zaidi wa yule mwenye mke mmoja na watoto wawili au watatu, maana bajeti yake huelekea kwenye matumizi aliyojipangia na yule naye huelekeza kwenye matumizi aliyojipangia kwa kadili ya maisha yake na kujitosheleza.
 
Mie ninachojua hawa majogoo hawatapigana ila watadonyoana tu, russia anauwezo wa kumpiga mmarekani kwake, na mmarekani ana uwezo wa kumpiga russia kwake.Hizi nchi zikipigana zitapotea duniani kwa kifupi hakutakuwa na mshindi hivyo ni bora kutishiana tu maana raia wa marekani watapa maana sahihi ya vita.
 
Nothing you know, shut up..!! There is no way you can compare U.S millitary muscles to Russia even a bit..

Russia millitary power is only 9% of U.S total millitary budget and power..

Kaa kimya, hujui kitu.. kukariri kubaya sana..!!

Jua na go search, Jeshi la U.S kiuhalisia, plus its Budget then compare to Russia..even there is no COMPARISON.. Acha kelele za uswahilini hapa, na ukiwa mwislam ndio kabisaaa unachukia tu U.S bila sbb.. but kuchukia kwako U.S, usidhanie ndio Russia wana hata ubavu wa kushindana na U.S.. sahau hilo..
Mkuu umejaribu kuangalia matumizi ya hizo bajeti zao zipo vipi??
 
Mkuu sasa kama unaipangia nyumba michepuko hapa mjini, unawasomeshea watoto wao, una honga honga tu ili mradi upate nyapu, kwa nini bajeti yako isiwe kubwa dhidi ya yule mwenye mke wake mmoja? Tena utahakikisha unaimudu bajeti hiyo kwa ghalama zozote hata ikibidi kudhulum, kuiba hata kula rushwa ili mradi tu bajeti yako iweze kukimu mahitaji yako hayo.
Pamoja na bajeti kubwa kiasi hicho, hicho si kiashiria kwama uchumi wako ni zaidi wa yule mwenye mke mmoja na watoto wawili au watatu, maana bajeti yake huelekea kwenye matumizi aliyojipangia na yule naye huelekeza kwenye matumizi aliyojipangia kwa kadili ya maisha yake na kujitosheleza.

Very very wrong example.. again ur totally wrong..!!

Uchumi wa U.S.A unaujua ni kiasi gani in GDP pekee per annum..? wa Russia je..? Once you spoke and wrote anything, do a little research..!! It is not illegal to think..!!

Likewise, ukitoa mifano ya ajabu kama yako hii it shows IQ yako how it looks like, perhaps even its climax..!! Unless una joke hapo nitakuelewa..

Just to help you...

1: U.S.A GDP 2016 = $ 18.56 trillions | wikipedia, U.S economy | GDP Rank 1st..!!

2: Russia GDP 2016 = $ 1.2 trillions | GDP rank 13th

Military budgets 2016..

1: U.S. 2016 = $ 628 billions | Rank 1st

2: Russia 2016 = $ 52 billions..

Did you get what i mean..? Umeelewa..?

U.S. is only the super power in the World,..!! Next to none..!! i repeat, next to none..!!

All military budgets of other countries combined together around the globe, is equal to 39.2% of U.S. Millitary budget per single year..!!

Acheni mchezo..!!
umenielewa walau kidogo tu, umepata picha walau nn nasema..? Once ukiongelea U.S acheni utani, dunia iko U.S.A..

Merry Chrismass & Happy New Year 2017..!!

Hatujabisha kwamba US ni super power ila bajeti yao ni kubwa kutokana wametuma majeshi yao sehemu mbalimbali dunia hizi kambi zipo tu na kuziendesha inahitaji pesa. Pia ukiangalia CIA wanabajeti kubwa ya covert ops na pia listening post zao dunia hivyo ni pesa.
Pili, kuna living standard za hizi nchi mbili ni tofauti kidogo..... kwa hiyo malipo ya wanajeshi na wafanyakazi katika safu za ulinzi marekani anatumia pesa nyingi kwenye mishahara na marupurupu kuliko ambavyo russia anatumia. Halafu hata currency zao (1usd = 61.82 RUB), pia wamarekani wananunua sana defectors kutoka mataifa mengine.
Ila ukija kuangalia russia anauwezo mzuri tu wa kupigana na kuleta madhara kwa marekani, pia hata marekani ana uwezo huo.
Kitu ambacho siamini ni kwamba marekani anauwezo wa kumpiga russia kama anavyofanya huko middle east, huyu chizi tu wa korea kusini hawapo sure na silaha zake ndio maana wameishia kwenye propaganda na mikwara.
 
Sorry mkuu, nilikua sifahamu kwamba kiwango cha IQ hupimwa labda kujua idadi ya nyota au au namna ajuavyo mambo makubwa yasiyofahamika na wengine.
By the way ukubwa wa bajeti nasisitiza kwa IQ yangu hii hii kwamba utategemea malengo na mahitaji yako. Kwa nini Russia aandae bajeti kwa ajili ya majeshi yake yaliyopo korea kusini wakati hana hayo majeshi huko? kwa nini katika bajeti yake ya kijeshi atenge US $ 1 bilion kwa ajili ya kuisaidia Misri wakati hana utaratibu huo?
Tusije tukaingiza mizuka ya reggae kwenye blues
 
Maskini wanabishana kuhusu mali za matajiri..

Siku ikiisha maskini wanarudi kwenye vibanda vyao wanawasha vibatari.. matajiri wana park magari yao wanaingia kwenye jacuzzi.
 
Hii ishu tutarudia hadi mara ngapi?,
si tukae kimya mda ndo utasema.

Kule allepo majuzi marekan na wenzake wakawa wanapiga kelele vita isimame,warusi wanaua watu,
wanataka vita isimame wakati assad na wenzake wameteka asilimia 99 ya mji.kelele zimepigwa wee,utadhani kweli raia wanauliwa ,kumbe kuna makomandoo wa marekani,uingereza,israel,qatar,saud etc.
Hawakutaka siri itoke kuwa hao ndo walikuwa wanawacontroo magaidi wa al nusra pale aleppo.
Wamekamatwa wakiwa ndani ya handaki
 
Nothing you know, shut up..!! There is no way you can compare U.S millitary muscles to Russia even a bit..

Russia millitary power is only 9% of U.S total millitary budget and power..

Kaa kimya, hujui kitu.. kukariri kubaya sana..!!

Jua na go search, Jeshi la U.S kiuhalisia, plus its Budget then compare to Russia..even there is no COMPARISON.. Acha kelele za uswahilini hapa, na ukiwa mwislam ndio kabisaaa unachukia tu U.S bila sbb.. but kuchukia kwako U.S, usidhanie ndio Russia wana hata ubavu wa kushindana na U.S.. sahau hilo..
Hivi nikuulize wewe ". Hii kitu inayoitwa NATO yenye Nchi zaidi ya 28 + Marekani =.......??

Imeundwa kwa ajili gani...?
 
Hatujabisha kwamba US ni super power ila bajeti yao ni kubwa kutokana wametuma majeshi yao sehemu mbalimbali dunia hizi kambi zipo tu na kuziendesha inahitaji pesa. Pia ukiangalia CIA wanabajeti kubwa ya covert ops na pia listening post zao dunia hivyo ni pesa.
Pili, kuna living standard za hizi nchi mbili ni tofauti kidogo..... kwa hiyo malipo ya wanajeshi na wafanyakazi katika safu za ulinzi marekani anatumia pesa nyingi kwenye mishahara na marupurupu kuliko ambavyo russia anatumia. Halafu hata currency zao (1usd = 61.82 RUB), pia wamarekani wananunua sana defectors kutoka mataifa mengine.
Ila ukija kuangalia russia anauwezo mzuri tu wa kupigana na kuleta madhara kwa marekani, pia hata marekani ana uwezo huo.
Kitu ambacho siamini ni kwamba marekani anauwezo wa kumpiga russia kama anavyofanya huko middle east, huyu chizi tu wa korea kusini hawapo sure na silaha zake ndio maana wameishia kwenye propaganda na mikwara.
Pamoja mkuu
 
Hii ishu tutarudia hadi mara ngapi?,
si tukae kimya mda ndo utasema.

Kule allepo majuzi marekan na wenzake wakawa wanapiga kelele vita isimame,warusi wanaua watu,
wanataka vita isimame wakati assad na wenzake wameteka asilimia 99 ya mji.kelele zimepigwa wee,utadhani kweli raia wanauliwa ,kumbe kuna makomandoo wa marekani,uingereza,israel,qatar,saud etc.
Hawakutaka siri itoke kuwa hao ndo walikuwa wanawacontroo magaidi wa al nusra pale aleppo.
Wamekamatwa wakiwa ndani ya handaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji635]
[emoji635]
Wanacheza na hawa....!!!
 
Na wewe kilazaaa tuu unadhani kwa kiburi cha marekani si wangeshaivamia urusi siku nyingi na kuchafua hali ya hewa kama libya na iraq? unadhani na ubabe wote wa marekani wangevumilia hii hali? unadhani pale syria angevumilia kupelekeshwa hivyo kweli?? we mpuuuzi huna lolote.

Waheshimu urusi kama ndo kwanza unaingia kwenye huu ulingo wa siasa useme ufundishwe.
Unafahamu kiburi cha mataifa ya kijamaa kimetoka wapi kama cuba, china, venezuela n.k?
Unazifahamu silaha za urusi wewe?
Kanye ukalalle mshenzi wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu msamehe huyu mtu, naona bado propaganda za marekani zimemganda
 
Ogopa sana Marekani akisema hivyo

Sasa atawafanya nini?, mi sijaona hata sehem moja Marekani alipo muadhibu Rassia, nilitaka kuamini pale Syria Marekani alipo paharibu maana ilikuwa anasapot hadi ya umoja wa mataifa na baadhi ya nchi kubwa ila Rassia kichwa kigumu ndie kaibuka mshindi, usitegemee itatokea siku Marekani kuiadhibu Rassia.
 
Back
Top Bottom