Obama vows action against Russia over election hacks

Obama vows action against Russia over election hacks

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti kumuachia na mavita yasiyo na faida ili ajipe khasara......!!!

Hivi wewe umekula maharage ya wapi.....??
Naona unajiropokea tuu ili mradi nawe umechangia....
Maalim unajulikana kwa unazi wako wa Putin , hata leo Putin akitoa posa kwenu utaolewa tuu,mtoto hasara sana wewe kapike maharage tuu
 
For Christ's sake,beat it otherwise you will never know what hits you.Your FBI & CIA are decadents. Losing the election should not make you lose your head.
 
Kama wanaachia nyaraka za siri, je, huyo jasusi Snowden wanamlilia nini ikiwa wanautaratibu huo.....??
Wanaachia kila baada ya mda fulani kupita, kama miaka 30 hivi. Pia hawaachii kila kitu wanaachia vile ambavyo havina madhara sana kwa kipindi hicho.
 
Very very wrong example.. again ur totally wrong..!!

Uchumi wa U.S.A unaujua ni kiasi gani in GDP pekee per annum..? wa Russia je..? Once you spoke and wrote anything, do a little research..!! It is not illegal to think..!!

Likewise, ukitoa mifano ya ajabu kama yako hii it shows IQ yako how it looks like, perhaps even its climax..!! Unless una joke hapo nitakuelewa..

Just to help you...

1: U.S.A GDP 2016 = $ 18.56 trillions | wikipedia, U.S economy | GDP Rank 1st..!!

2: Russia GDP 2016 = $ 1.2 trillions | GDP rank 13th

Military budgets 2016..

1: U.S. 2016 = $ 628 billions | Rank 1st

2: Russia 2016 = $ 52 billions..

Did you get what i mean..? Umeelewa..?

U.S. is only the super power in the World,..!! Next to none..!! i repeat, next to none..!!

All military budgets of other countries combined together around the globe, is equal to 39.2% of U.S. Millitary budget per single year..!!

Acheni mchezo..!!
umenielewa walau kidogo tu, umepata picha walau nn nasema..? Once ukiongelea U.S acheni utani, dunia iko U.S.A..

Merry Chrismass & Happy New Year 2017..!!

Naona umeongea maneno meeeengi!! Kama ni kweli kwaninj usa analalamika ame hakiwa na russia???
 
Maalim unajulikana kwa unazi wako wa Putin , hata leo Putin akitoa posa kwenu utaolewa tuu,mtoto hasara sana wewe kapike maharage tuu
Sitoweza kukujibu kwa njia za mipasho wala si kawaida yangu.

Hebu basi tuambie/hasara aliyoipata huyo Mrusi hapo Syria
 
russia ni nchi isiyotabilika na ni nchi pekee ambayo huwezi ckia taarifa zake znatapakaa kama mmarekani .....ebu angalia north korea na mambo wanayofanya na hakuna mtu wakumgusa ......hawana desturi ya kunukuu wala kucopy wakitoa kitu ni cha ukweli.
 
vita ya syria ina faida kubwa sana kwa mrusi maana asingefanya vile na hawa wanao jiita NATO wangefanikisha kumtoa assad .....mrusi angepotea kwenye huu ulimwengu maana mmarekani angetia bomba la mafuta toka uarabuni mpka europe na kuharibu kabsa biashara ya mrusi na ndio maana mrusi akaamua kufa na kupona lazma aingilie kati ile sherehe.............whether UN wakabali au wakatae ile ilshakuwa vita.
 
Behind the scene.

Hii ni vita ya technologial .
CIA inamtaka KBG imchukue na kumtumia snowden ili Wa access info from Russia security.
Action: 1. peleka MTU mtafute
2. Create kisasi etc
Hizo nibaadh tu

Think thrice
 
S
russia ni nchi isiyotabilika na ni nchi pekee ambayo huwezi ckia taarifa zake znatapakaa kama mmarekani .....ebu angalia north korea na mambo wanayofanya na hakuna mtu wakumgusa ......hawana desturi ya kunukuu wala kucopy wakitoa kitu ni cha ukweli.
Snowden under cover anazichimba
 
Behind the scene.

Hii ni vita ya technologial .
CIA inamtaka KBG imchukue na kumtumia snowden ili Wa access info from Russia security.
Action: 1. peleka MTU mtafute
2. Create kisasi etc
Hizo nibaadh tu

Think thrice
Ila ukiangalia ishu ya snowden kwa jicho la tatu inawezekana ni kweli unayosema au vice versa maana marekan kwa mbinu tu hajambo.
 
Sitoweza kukujibu kwa njia za mipasho wala si kawaida yangu.

Hebu basi tuambie/hasara aliyoipata huyo Mrusi hapo Syria
Naongelea Russian Economy in general ilivyochapika kutokana na Westen sanctions sio vita vya Syria ambavyo maslahi yake ni madogo kwa US ndio maana hawakuingia full force zaidi ya kutuma AK 47 kwa rebels tuu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ndege nyingine ya jeshi imeanguka ikielekea Syria
 
Back
Top Bottom