God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Watu wengine ndo kwanza wanapevuka mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu msamehe huyu mtu, naona bado propaganda za marekani zimemganda
Watu wengine ndo kwanza wanapevuka mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu msamehe huyu mtu, naona bado propaganda za marekani zimemganda
Mbona kamuibia Ukraine? Jamaa ndio akamega Crimea. Ukraine ilikuwa chini ya Urusi, na hata utawala ulilalia upande wake. Jamaa wametengeneza fitna na wakabadilisha utawala sasa unalalia upande wa US. Huyo Assad ni suala la mda japo sishabikii, lakini ndio hivyo. Nchi imesharikibika ile, na ndio mshirika wa Russia. Russia kaenda kapiga wale ISIS , Marekani katia fitna mpaka jamaa wakasitisha. Sasa hivi Iran( mshirika wa Russia), Hezbollah na Hamas wote wanaoigana huko Syria, wanapoteza nguvu kazi na rasilimali. ISIS na makundi mengine kama Nusra Al front wanakuwa funded na equiped na US, hakuna asiyejua na hakuna anayefanya lolote. Kiukweli Marekani ndio mbabe wa dunia, anaendesha matukio kwa ustadi mkubwa sana na yeye ndio anafaidika na yanayotokea. Akimaliza hapao anakuja kwa Iran ndio mpango wao huo. Sasa hivi anammlazia Bashar rasilimali zake, unafikiri Bashar ataenda hivyo mpaka lini.Sasa atawafanya nini?, mi sijaona hata sehem moja Marekani alipo muadhibu Rassia, nilitaka kuamini pale Syria Marekani alipo paharibu maana ilikuwa anasapot hadi ya umoja wa mataifa na baadhi ya nchi kubwa ila Rassia kichwa kigumu ndie kaibuka mshindi, usitegemee itatokea siku Marekani kuiadhibu Rassia.
Ni kweli mkuuWatu wengine ndo kwanza wanapevuka mkuu
Kama fitna zake zimeshindwa Syria basi ujue Iran hatopaweza.Mbona kamuibia Ukraine? Jamaa ndio akamega Crimea. Ukraine ilikuwa chini ya Urusi, na hata utawala ulilalia upande wake. Jamaa wametengeneza fitna na wakabadilisha utawala sasa unalalia upande wa US. Huyo Assad ni suala la mda japo sishabikii, lakini ndio hivyo. Nchi imesharikibika ile, na ndio mshirika wa Russia. Russia kaenda kapiga wale ISIS , Marekani katia fitna mpaka jamaa wakasitisha. Sasa hivi Iran( mshirika wa Russia), Hezbollah na Hamas wote wanaoigana huko Syria, wanapoteza nguvu kazi na rasilimali. ISIS na makundi mengine kama Nusra Al front wanakuwa funded na equiped na US, hakuna asiyejua na hakuna anayefanya lolote. Kiukweli Marekani ndio mbabe wa dunia, anaendesha matukio kwa ustadi mkubwa sana na yeye ndio anafaidika na yanayotokea. Akimaliza hapao anakuja kwa Iran ndio mpango wao huo. Sasa hivi anammlazia Bashar rasilimali zake, unafikiri Bashar ataenda hivyo mpaka lini.
Mkuu ivi japani nao walikua noma sana miaka ya nyuma kumbe! nimeona sehemu waliitawala singapore na wakaiadhibu vibaya sana china.Kama fitna zake zimeshindwa Syria basi ujue Iran hatopaweza.
Wameshindwa vikwazo na kuingiza vibaraka vyao pale Iran unafikiria nn
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ICJ tunaenda sie wao hata haiwahusu ndio maana sio members richa ya kuwa wanachangia existence yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Si waende wakashitaki ICJ?
Ndio mkuu, ila kwa sasa kila taifa limeweka uzalendo mbeleMkuu ivi japani nao walikua noma sana miaka ya nyuma kumbe! nimeona sehemu waliitawala singapore na wakaiadhibu vibaya sana china.
safi sana mkuu kabla ya mtu kupewa madaraka ya nchi lazima awe mzalendo kwanza hata akiwa fisadi haina tatizo mradi hauzi nchi yake kama akina mobutu huko n.k,Ndio mkuu, ila kwa sasa kila taifa limeweka uzalendo mbele
Hao Spetsnaz wana kipi cha ajabu hasa mfano maana bora hata wale WA Israel SAYERET MARTKAL tumewaona kwenye missions kibao.We hakuna mpuuzi wa kumsumbua mrusi jamaa ni habari nyingine. Snowden huku anaendelea kutoa siri nyingi sana na sasa wanalia wamewekewa rais Trump. Mashoga hayawezi show za kiume za SPETSNAZ hawa beast ni hatari hatari tabu tupu yani ni moto wa kuotea mbali wanacheza ngoma zote unazozijua wewe na nyingine hata huzijui ukijifanya hamnazo lazima uyeyuke.
Kwa hiyo unataka nikasome vitabu vya PropagandaMkuu kasome hiki kitabu utaona kuwa Iran iko highly infiltrated. Hakuna kitu hapo
View attachment 448306
Kile ni kitabu cha nyaraka za siri za kijasusi za taifa lao, waliyoyafanya nyuma ya pazia mpaka kufikia hapo walipo. Kwani uongo kwamba Israel walishinda vita ya siki 6 dhidi ya mataifa ya kiarabu? Haikiwa kazi rahisi, sasa kilichofanyika nyuma ya pazia kuwezesha ishindi wao na hatimae kuanzishwa kwa Taifa la Isreal ndio baadhi wameweka hadharani kupitia kitabu hiko na vinginevyo. Soma kisha linganisha na yanayotokea utapata kuunganisha dot. Wenzetu wana utaratibu kila baada ya miaka fulani wanaachia baadhi ya nyaraka za siriKwa hiyo unataka nikasome vitabu vya Propaganda
Russia kaadhibiwa na US panapouma kuliko una vyojua , recession ina punish Russia for now maana wako in negative growth tangu wapigwe sanctions, pesa yao (ruble) devalued more than 50% since 2014, putin kapewa alichokuwa anatafuta ndio maana yuko busy na mavita yasiyo na faida Syria na US anajua hilo kamwachia tuu aendeleee kujitia hasaraSasa atawafanya nini?, mi sijaona hata sehem moja Marekani alipo muadhibu Rassia, nilitaka kuamini pale Syria Marekani alipo paharibu maana ilikuwa anasapot hadi ya umoja wa mataifa na baadhi ya nchi kubwa ila Rassia kichwa kigumu ndie kaibuka mshindi, usitegemee itatokea siku Marekani kuiadhibu Rassia.
Kama wanaachia nyaraka za siri, je, huyo jasusi Snowden wanamlilia nini ikiwa wanautaratibu huo.....??Kile ni kitabu cha nyaraka za siri za kijasusi za taifa lao, waliyoyafanya nyuma ya pazia mpaka kufikia hapo walipo. Kwani uongo kwamba Israel walishinda vita ya siki 6 dhidi ya mataifa ya kiarabu? Haikiwa kazi rahisi, sasa kilichofanyika nyuma ya pazia kuwezesha ishindi wao na hatimae kuanzishwa kwa Taifa la Isreal ndio baadhi wameweka hadharani kupitia kitabu hiko na vinginevyo. Soma kisha linganisha na yanayotokea utapata kuunganisha dot. Wenzetu wana utaratibu kila baada ya miaka fulani wanaachia baadhi ya nyaraka za siri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Russia kaadhibiwa na US panapouma kuliko una vyojua , recession ina punish Russia for now maana wako in negative growth tangu wapigwe sanctions, pesa yao (ruble) devalued more than 50% since 2014, putin kapewa alichokuwa anatafuta ndio maana yuko busy na mavita yasiyo na faida Syria na US anajua hilo kamwachia tuu aendeleee kujitia hasara