Obama visit in Kenya

Hivi siku 3 ambazo hao wakenya hawatafanyakazi wanapoteza kiasigani cha mapato na huyo Obama atawaingizia kiasigani cha mapato kitakacho cover hiyo hasara?.
 
No Comment's. Ila kuhusisha kanisa ktk hili, ni upotoshaji. Jamani wakati mwengine, tujadilini tu yanayohusu mada husika, itapendeza sana.
 

Acha kujipa sifa za kijinga
 
The US NASA will ensure that the world above the earth which is controlled by USA willl control kenya space and entire africa space using the NASA satelites which are on the Moon, the mars,etc.

Hawajawahi fika kwenye mwezi sembuse kuweka satellite, Mars kwenyewe hamna mtu aliyewahi fika ni vyombo vya kisayansi tuu ndio vinaletaga habari za kusadikika
 
Habari ya kufika mwezini ilitengenezwa tuu
 
Mkuu #kitali , ww ndo upo mbali fatilia vizuri utapata jawabu..hii ilidhihirishwa na watu makini wengine waliohusika, katika reference zako kama utafatilia usisahau documentary moja inaitwa 'did we land on the Moon'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…