kama nchi inapata faida kwa hayo makampuni sindio maana anaomba msamaha kama rais wa nchi si ndio.
Tupe mrejesho MKUU...Bado assad wa syria
Rais aliyechukua kiti sio mpenda vita, Obama mlimpa tuzo ya Amani.Tupe mrejesho MKUU...
Kama sio mpenda vita yale majeshi ya US yanafanya nini SYRIA ?!Rais aliyechukua kiti sio mpenda vita, Obama mlimpa tuzo ya Amani.
Muulize Obama wenu aliyapeleka kufanya nini.Kama sio mpenda vita yale majeshi ya US yanafanya nini SYRIA ?!
Asiependa vita anayaacha yanafanya nini ?!...Muulize Obama wenu aliyapeleka kufanya nini.
Alishatoa wanajeshi kadhaa Syria.Asiependa vita anayaacha yanafanya nini ?!...
ndio kamaliza vita ?!Alishatoa wanajeshi kadhaa Syria.
Amalize vita kwani yeye ndo aliingia vitani?ndio kamaliza vita ?!
Kwahio anapenda vita kama wengine anaendeleza walipoishia...Amalize vita kwani yeye ndo aliingia vitani?
walipoishia akina nani?Kwahio anapenda vita kama wengine anaendeleza walipoishia...
Waliopeleka majeshi SYRIA kina nani ?!walipoishia akina nani?
ObamaWaliopeleka majeshi SYRIA kina nani ?!
Kwahio bado rais wa US mpaka leo ??...Obama