Uislamu ni dini ni utamduni na ni utaifa!?
Ndiyo maana kuna kitu kama
" Mali za waislamu"
Mataifa ya kadhaa ya Asia na Middle East serikali zao ni za Kiislamu.
Sijui ukiwa Muislamu Tanzania unaweza dai kwamba mali zote za mataifa hayo na wewe ni mmiliki??
Bakhresa anamiriki biashara kibao kwa sababu tu ni Muislam basi kuna waislamu wanadhani mali ya huyu jamaa ni yao pia.
Rais ni Muslamu kuna Waislamu wanadhani sasa tanzania ni ya Kiislamu. Rais alipokuwa mkristo kuna waislamu waliamini kwa dhati kwamba nchi ilikuwa ni ya kikristo.
Sijui ni ufahamu mdogo aua ni msisitizo duni wa kiimani wenye kudumaza uelewa??
Obama kuwa Muislamu ni jambo muhimu sana kwa muanzisha hoja kwamba sasa dola ya Kiislamu imetinga First world imani nyingine mlie tu.