Obama ni African Blood atamwangusha Trump

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,680
Reaction score
58,677
Kuna uwezekano mkubwa wa Trump kushinda uchaguzi ujao lakini matokeo yake naona yakipinduliwa kwa sababu zifuatazo!!

1: Matamshi aliyoyatoa Trump Mwanzo kwenye kampeni zake juu ya Islamic,na waamiaji kutoka Mexico.

2: Kujiingiza kwa Russia na Uchina kwenye siasa za marekani Mkumbuke kuna siri za uvumbuzi wa slaha mpya kati ya marekani na Urusi,technology, na ushawishi wa marekani mashariki ya kati!

3: Ushawishi wa Bill Clinton ambaye ni mume wake na mgombea wa Democratic. Bi Hillary Clinton kwani mkumbuke alishawai kuwa mkurugenzi wa CIA!!

4: Ushawishi wa Obama bado Obama anakubalika kwa wamarekani walio wengi hasa kwa Sera yake ya mambo ya Afya na swala la Ajira na Sera za ndani ndio zinawagusa wamarekani walio wengi kuliko Sera za nje ambazo Trump anaangaika nazo !!

5: Obama pia mkumbuke huyu asili yake ni Africa na wote mnajua figisu figisu za waafrika katika maswala ya Uchaguzi ndio maana bado niko na mashaka sana kuhusu Trump !! Waafrika mnawajua kwa huluka zao juu ya democrasia" kuna maneno aliyaongea Obama kuwa
" I don't think if the American peple they will choose for Trump"
Ukiangalia yalikuwa maoni binafisi lakini yenye cheme za mchezo flani ndani yake"

6: Kuna taarifa zingine zimevuja kutoka Shirika la Ujasusi la Israel kuwa Warusi wanaweza Kuingilia mfumo wa kuhesabu kura wa uchaguzi wa Marekani lakini ukute hata hakuna kitu kama hicho bali ,Sasa inawezekana ni mchezo tu unachezwa kati ya Marekani na Israel ili ionekane Trump anawatumia warusi kuingilia mambo ya ndani ya Marekani!!

Tuendelee kusubiri lakini Kwa maoni yangu Trump kuwa Rais wa marekani ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la sindano!!
 
1473336691831.jpg
 
Hillary Clinton alishawahi kuwa first lady in Arkansas, first lady in the united states, united states senator from New York, United States Secretary of State.

Huo ukurugenzi wa CIA aliushika lini? (3)
 
Naongelea mume wake
 
Back
Top Bottom