Obama na Michelle na Muonekano wa Wapendanao safiiiiiii!

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
449
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
 
Wewe acha tu kuta za nyumba zinaficha mengi, unaweza kukuta Obama ameuzoea msalaba wake kama sisi tulivyozoea misalaba yetu, kwa taarifa yako hata Jk ameizoea misalaba yake pamoja kwamba ni rais.
 
...............Unajua wengi wetu misalaba imekuwa mikubwa hata kuibeba haibebeki fikiria mtu hata kuongozana tu na mkewe ni shida... sembuse kumpiga busu hadharani....
 
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
Yawezekana ni kweli ,lakini kumbuka hata Bill Clincton alikuwa anafanya hivyo hivyo huku yupo na Monica!!!
Hata hapa nchin mtu wetu yupo hivyo hivyo lakin............................
 
Wewe ni muongo mkubwa, toka lini baba MwanaAsha akambusu mama Mwana Asha hadharani? Toka lini ukamuona baba MwanaAsha anaongozana na wanawe kwenda pahala!!! Msela yeye kila safari anakwenda na wasaidizi!!!
 
Muhongo leo alikua ameitisha mjadala kuhusu gesi na madini nyie mnapiga porojo huku..
 
...............Unajua wengi wetu misalaba imekuwa mikubwa hata kuibeba haibebeki fikiria mtu hata kuongozana tu na mkewe ni shida... sembuse kumpiga busu hadharani....
Mke anakuwa msalaba tena ndugu yangu? pole sana kweli raha ya mke huijui.
 
Wewe ni muongo mkubwa, toka lini baba MwanaAsha akambusu mama Mwana Asha hadharani? Toka lini ukamuona baba MwanaAsha anaongozana na wanawe kwenda pahala!!! Msela yeye kila safari anakwenda na wasaidizi!!!

Hapa naona muongo ni wewe kwani mkuu wetu aendapo nje anaenda na vimada wake kujirusha kina Michuzi wanaandika kaenda safari za kikazi.
 
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia

Wabongo bwana kwa vituko. Hapo umeshakariri majina ya watoto wa Obama wakati wamarekani wenyewe don't even care. Usidanganyike na picha kwani nyuma ya pazia kuna mengi huyajuwi. Mfano ulio hai si uliona Prince Charles na Diana? Wakiwa hadharani kicheko mpaka mwisho na kushikana mikono wakirudi nyumbani kero mtindo mmoja. Si king'aacho ni dhahabu.
 
Mke anakuwa msalaba tena ndugu yangu? pole sana kweli raha ya mke huijui.

Tatizo la watanzania si wanaume/wanawake hatujuwi kupenda. Mwanamme ukipenda mkeo watu wanakucheka na kusema umelishwa limbwata. Mwanamke ukipenda mumeo watu wanasema unajipendekeza kwa hiyo imekuwa kama tunaogopana.
 
Hapa naona muongo ni wewe kwani mkuu wetu aendapo nje anaenda na vimada wake kujirusha kina Michuzi wanaandika kaenda safari za kikazi.

Naona hukuielewa nukuu yako ,isome vizuri kwani inaelekea unakubaliana na kile nilichoandika!!!
 
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia

Yaani wee acha tu!! Obama anaonekana kumsikiliza Mkewe na wanaishia kubusiana watoto wao wakiwaangalia. Sisi waswahili mabusu ni mali ya chumbani tu. Hahahahahahaha!!!!!!!!!!
 
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia

Kama tungeiga haya basi tungerithi mapenzi halisi. Tatizo tumekuwa tukirithi mabaya kama vile, kuvaa kata K, Matumizi ya madawa ya kulevya, nadhani hata ushoga tusipoangalia tutarithi. Jamani tuwapo barabarani tukumbatiane OBAMA STYLE. Penzi la Obama.
 
"Obama style" hahaaa nime like haka kamsemo
 
OBAMA STYLE
Obama Style.jpg , Obama Style1.jpg , Obama Style 2.jpg , Obama style 3.jpg , Obama style 5.jpg , Obama style 6.jpg , Obama style 7.jpg

Haya yanawezekana tuyaige toka kwa Barack Obama
 
Back
Top Bottom