Obama kama Kikwete au Kikwete kama Obama!

punguzo

Member
Jul 9, 2011
51
0
[video=youtube_share;7alb_iN1QHo]http://youtu.be/7alb_iN1QHo[/video]
US President Barack Obama shows off his soccer skills - YouTube

Niukweli Kikwete amewahi kuwatembelea/ kuwaarika ikulu Taifa star, Obama kawatembelea Wanafunzi wa high School, lakini Hapa Obama kidogo kaonyesha uwezo wake wa kujua Mpira na kufanya mazungumzo ya kawaida na wananchi wake!

uwezo na mazungumzo na wanafunzi hao yanamuonyesha Obama kuwa anayajua maisha ya wananchi wa kawaida, je kikwete kuwatembelea Taifa star, kuwaalika wanamuziki na wasanii kunaonyesha kuwa anayajua maisha ya mwananchi wa kawaida na maskini, Je na kama anayajua ni kwamba anapuuzia matatizo yao au hana uwezo wa kuyatatua? mbona mambo hayaende? kama kikwete anamuiga Obama au Obama anamuiga kikwete ni kwanini Kikwete anamuiga mambo ya kujionyesha katika kijamii tu na sio kuigana katika mambo mengine ya msingi, mipango na kutatua matatizo ya jamii?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom