Obama in Cuba Photos

Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii
 
Mi najiuliza ikiwa Trump akawa POTUS, blacks wataendelea kuonekana ikulu kama staff? Maana saivi ni kawaida kukuta Obama kazungukwa na njemba kama sita hivi zote nyeusi tiiii

Braza, inategemea !
 
Hivi hao watoto wa Obama hawana kazi ya kufanya?

Kila baba anakoenda na wao wapo!
kaka kipindi kile wamekuja hapa kwetu. nasikia walikuwa na mwl wao ktk msafara ule.hakuna kinachowapita kwa upande huo zaidi uya kuongeza maarifa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…