Obama enzi hizo

Obama enzi hizo

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
354
Reaction score
147
obana.jpgobama.jpg
Usione ukadhani watu wametoka mbali
 
watu wanatoka mbali sana,cha muhimu ni kuwa na nia na uzubutu
 
Chadema wao wanataka kesho wakiamka tu tayari ni marais, mambo hayaendi hivyo bana, mtaumiza wengi kwa tamaa za haraka haraka, ni uongozi gani wa chama ambao for more than 10 years mwenyekiti na katibu ni wale wale tu?? Hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza au kugombea ni wao tu?? kama si uroho ni nini?? mafanikio it is a process na si kutokea tu kama uyoga, ccm kuna kupokezana lakini s chadema hiyo imekuia kama taasisi binafsi sasa..
 
Hehe..kweli jF full burudani, sa CHADEMA imeingiaje tena hapa jamani dah!
 
Uyo jamaa mwenye jicho moja ana hasira na Obama du!
 
Chadema wao wanataka kesho wakiamka tu tayari ni marais, mambo hayaendi hivyo bana, mtaumiza wengi kwa tamaa za haraka haraka, ni uongozi gani wa chama ambao for more than 10 years mwenyekiti na katibu ni wale wale tu?? Hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza au kugombea ni wao tu?? kama si uroho ni nini?? mafanikio it is a process na si kutokea tu kama uyoga, ccm kuna kupokezana lakini s chadema hiyo imekuia kama taasisi binafsi sasa..

Wewe Kamanda na mapengo kibao usipotaja CHADEMA hupati usingizi sio, Njoo ujiunge na chama dume
 
Back
Top Bottom