Obama doing worse...

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Feb 9, 2007
433
117
[h=2]'Obama doing worse than predecessor[/h]

bc90aafe6f37ec107b3418b4168ede77_L.jpg

Results of a new poll show that half of Americans believe the US President Barack Obama and the US Congress are doing worse than their predecessors.
According to a new Gallup Poll released on Friday, two-thirds of Americans believe President Obama and Congress are doing a poor job overall.
When asked to compare the performance of the current incumbents to past presidents and congresses, a slim majority, 52 percent, say the current president and congress are doing a worse job than their predecessors.
large.jpg

However, only 30 percent of the respondents say Obama and Congress are doing a good job in dealing with the most important problems facing the United States. SOURCE: 'Obama doing worse than predecessor'

OTHER SOURCES:
Most Americans Say They
'Obama doing worse than predecessor'
Poll Majority Sees Obama Doing the Same or Worse Than Bush - Politics - The Atlantic Wire

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,546
4,903
Atimuliwe mjinga tu anafanya kazi ya kuua walibya ili waibe mafuta nothing else
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,115
3,058
Ha ha ha ha
watu walishangilia eti mweusi mweusi, haha ha ha. Tabia ya weusi wengi ni kutesa wenzake weusi wakati akiwapa bandwidth ya kutosha weupe.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,243
91,907
hamjui vizuri siasa za marekani
obama atashinda tena

marais watatu tu ambao walishindwa uchaguzi marekani...
wenye nchi,ambao ni matajiri na wayahudi wamilikiwa vyombo vya habari wakishaamua
nani awe rais ndio hivyo hivyo
wayahudi wameshaaamua obama aendelee na ataendelea
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,939
728,454
Atimuliwe mjinga tu anafanya kazi ya kuua walibya ili waibe mafuta nothing else

siasa za wamarekani huzijui.....................ungelizijua usingelisema ulivyosema.........................kwenye sera za kigeni hakuna tofauti yoyote kati ya Republican president au Democrat president......................................................lengo ni ubeberu tu na kuwanyonya wasiomjua Yesu Kristu kuwa ni Mungu na ya kuwa hakuna Mungu mwingine...........................................

kwwa hiyo huyo atakayekuja atakuwa mkali zaidi ya huyu Obama katika kulinda masilahi ya kibeberu......................labda tubadilishe gia na kumjua ni nani Mungu wa kweli ili atuokoe pale kwenye hizi dhoruba.................
 
kwamwewe

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,623
455
hamjui vizuri siasa za marekani
obama atashinda tena

marais watatu tu ambao walishindwa uchaguzi marekani...
wenye nchi,ambao ni matajiri na wayahudi wamilikiwa vyombo vya habari wakishaamua
nani awe rais ndio hivyo hivyo
wayahudi wameshaaamua obama aendelee na ataendelea

TEMBELEA HAPA AND WATCH 
Last edited by a moderator:

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,740
104,894
hamjui vizuri siasa za marekani
obama atashinda tena

marais watatu tu ambao walishindwa uchaguzi marekani...
wenye nchi,ambao ni matajiri na wayahudi wamilikiwa vyombo vya habari wakishaamua
nani awe rais ndio hivyo hivyo
wayahudi wameshaaamua obama aendelee na ataendelea

Hahahaaa Boss acha kamba kaka.
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Mtu ambaye hajui siasa za U.S.A anaweza amini tu alichosoma kwenye thread.Wamarekani wengi they dnt bother to know foreign policies than internal policies wakati Congress and Senate ndo kazi kubwa wanayoifanya so has to protect and strengthen its hegemony arround the global.
Watu wengi hasa waafrika walifulai OBAMA kuwa raisi ingawa hawakujua na hawaijui vizuri Marekani inachezaje karata ya siasa ingawa wengi waridhani kuwepo kwake kutasaidia kupata misaada kumbe wao U.S.A nikurinda nafasi yao muhimu kwenye Dunia kitu ambacho Obama ameweza ingawa kwa siasa za ndani hajafanikiwa vizuri.IKUMBUKWE BUSH ALITENGEZA MAADUI WA USA THEN OBAMA ALIKUJA KUTENGENEZA NA KULINDA MARAFIKI kitu ambocho ameweza abt 45% Ukitaka kujua siasa za USA vizuri source nzuri hizi hapa ingawa ni vitabu 1.WE THE PEOPLE, concise intro.to usa politics,POINT OF VIEW and World Politics at Int.Level etc
 
VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
782
Atimuliwe mjinga tu anafanya kazi ya kuua walibya ili waibe mafuta nothing else

Puttin alivyovamia na kuua kule Abhakazia na Osertia ulikuwa bubu.
Darfur watu tena waislamu wanachinjwa na kuwa-raped na janjaweed kila kukicha hujaliona hilo
 
Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,405
1,403
Mtu ambaye hajui siasa za U.S.A anaweza amini tu alichosoma kwenye thread.Wamarekani wengi they dnt bother to know foreign policies than internal policies wakati Congress and Senate ndo kazi kubwa wanayoifanya so has to protect and strengthen its hegemony arround the global.
Watu wengi hasa waafrika walifulai OBAMA kuwa raisi ingawa hawakujua na hawaijui vizuri Marekani inachezaje karata ya siasa ingawa wengi waridhani kuwepo kwake kutasaidia kupata misaada kumbe wao U.S.A nikurinda nafasi yao muhimu kwenye Dunia kitu ambacho Obama ameweza ingawa kwa siasa za ndani hajafanikiwa vizuri.IKUMBUKWE BUSH ALITENGEZA MAADUI WA USA THEN OBAMA ALIKUJA KUTENGENEZA NA KULINDA MARAFIKI kitu ambocho ameweza abt 45% Ukitaka kujua siasa za USA vizuri source nzuri hizi hapa ingawa ni vitabu 1.WE THE PEOPLE, concise intro.to usa politics,POINT OF VIEW and World Politics at Int.Level etc

Hey, aloo...mbona Kiswahili chako cha kuandika kibaya hivi? Mimi siamini unayoandika kwa sababu tu unasema- walifulai,waridhani, nikurinda....vipi nitakuamini?
Mbona hufanyi makosa hayo katika Kiingereza? Mtu mweusi bwana, hathamini chake!
 
HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
whether they choose him or not it does not matter to my conclusion. Obama is a failure president. I believed that before campaign last election and I still believe it now!....and for good reasons...
 
Jakobwago

Member
Oct 4, 2010
5
0
I wonder! may be you give the criteria under which Obama can be judged as a failure. Economic problems facing the world today has not emerged today or yesterday. Things were disorganized by the former president B, however Obama has shown a great concern in recovery and stability programs. So how then u reach a conclusion that he is a failure? Ni mtazamo tu ila wamarekani wataamua na ucsahau **** JESUITS
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Hey, aloo...mbona Kiswahili chako cha kuandika kibaya hivi? Mimi siamini unayoandika kwa sababu tu unasema- walifulai,waridhani, nikurinda....vipi nitakuamini?
Mbona hufanyi makosa hayo katika Kiingereza? Mtu mweusi bwana, hathamini chake!
Definetly you are more than right cause every mweusi should know Swahili well.
 
m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,485
369
whether they choose him or not it does not matter to my conclusion. Obama is a failure president. I believed that before campaign last election and I still believe it now!....and for good reasons...

Ungekuwa Mnugu ningekuita Uncle Tom!!!! Vinginevyo nadhani unafurahisha baraza tu. You, of all people, ni ipi kati ya miswada ambayo Obama amesign into laws zimekuathiri binafsi? Anzia tangu $ 789 billion Economic Stimulus mpaka leo kwenye education reforms ($500 million) umeathirika vipi? Punguza kuangalia Fox News papa. By the way, the last time I check, George Bush Sr. was still the 41st President ingawa hakuchaguliwa second term.
 
Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,762
1,165
Hivi nini kinatokea; naaamini upepo uliomvurumishia Obama palee juu ndio huo huo utamvurumisha mpaka mchangani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom