Obama denounce anti gay bill in Uganda as 'ODIOUS'

Nyie watu acheni upumbavu wenu na chuki za kishenzi kwa hao gay & lesbians,hawajawachukulia chochote wala hawajawaambia muwe kama wao,hao watu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo kama sehemu ya society yetu na hakuna chochote mnachoweza kufanya zaidi ya kuwatolea kashfa na kuwatukana matusi yote mliyofundishwa na kuonekana washenzi tuu,watu wanapendana wao nyie inawahusu nini kuwapangia namna ya kuishi,nyie mbona hamjalazimishwa kuwa chochote msichopenda,hawa watu hata mseme nini watapigania haki yao na wataipata na watatambulika na kuwa protected na laws zote zinazolinda binadamu,someni civil rights movements na arguments za mabaguzi walizokuwa wanatoa mtajiona hamna tofauti nao,na hawatasubiri approval kutoka kwa wapuuzi kama nyie ili waishi maisha yao,life goes on na soon watapata haki zao na society ita move on na kama kawaida mengine yataibuka kama yaliyopita ya ubaguzi,slavery,wars etc lakini good people will fight again.

Haha haya maneno makali kama ya nyoka aliyefurumshwa kwenye shimo yametoka na kuanzia wapi????. Wewe si umeleta thread hii ili watu watoe maoni yao? tena si umenakiri kutoka chanzo unachokifahamu?

Sasa mbona wageuka mbogo yakhe, watu wanapoachilia mawazo yao?

Yakhe wantisha mie!!
 
Koba chanzo cha gay na lesbian ni nini? maana naona mnaanza kupigana tu humu, ebu elewesha watu mkuu, mimi sioni wewe ni gay, ila naomba tujadili hili swala here and now! with critical review on this issue
 
Huyo ni bonge la gay wewe. Kwani huoni anavyowatetea hapa? Anatetea maslahi yake huyo bwabwa
 
...ni ngumu kuwa na meaningful debate na watu ambao humu ni ant gay maana the first thing watakuita you re gay,bwabwa,mtoto etc na kukutolea kashfa zote wanazojua wao,sipotezi muda tena na hii topic ila nitawatetea magay popote pale and nasisitiza tena I'M NOT GAY!
 
Hehehehehe....jamani mimi ni gay ila nampinga Koba ili msinione gay lakini naomba mtuheshimu,no need of denying who i am,asante koba kwa kututetea na angalia PM box yako

....nitaendelea kukutetea na wenzako jitokezeni tuu
 
ila nitawatetea magay popote pale and nasisitiza tena I'M NOT GAY!

Aisifuye Mvua imemnyea.................!

Koba kwa mtaji wa kisiasa za kibongo bongo ; Gays and Lesbinians sio minority ambao watakufaidisha kisiasa; thats to say you are not a POLITICIAN as Clinton et al.

Jibu ni moja tu; Mbona kuongea kwako kunafanana nao? Na sababu zako ndio zile zile eti wameumbwa cjui wamezaliwa hivyo yada yada yada!

Ila tu nikukumbushe Mungu wa upendo atakupokea na kukusamehe ikiwa UTATUBU!
Mrudie Mola wako!
 
...bado unaishi mapangoni wewe!
 
Huyo ni bonge la gay wewe. Kwani huoni anavyowatetea hapa? Anatetea maslahi yake huyo bwabwa

.....hii language unatumia adds nothing to a conversation except a display of your ignorance.
 
.....hii language unatumia adds nothing to a conversation except a display of your ignorance.

You is gay. Why deny it? Gay is not a bad thing. Matter of fact, gay means happy. So Koba is gay=Koba is happy.
 
Haya endeleeni kuua watu kwa kutumia vitabu vyenu....mtaenda mbinguni.

Turkish girl, 16, buried alive for talking to boys

Death reopens debate over 'honour' killings in Turkey, which account for half of all the country's murders

The-hole-where-a-16-year--001.jpg
The hole where a 16-year-old girl was buried alive by her relatives in Adiyaman, southeastern Turkey Photograph: HO/REUTERS

Turkish police have recovered the body of a 16-year-old girl they say was buried alive by relatives in an "honour" killing carried out as punishment for talking to boys.
The girl, who has been identified only by the initials MM, was found in a sitting position with her hands tied, in a two-metre hole dug under a chicken pen outside her home in Kahta, in the south-eastern province of Adiyaman.
Police made the discovery in December after a tip-off from an informant, the Turkish newspaper Hurriyet reported on its website.
The girl had previously been reported missing.
The informant told the police she had been killed following a family "council" meeting.
Her father and grandfather are said to have been arrested and held in custody pending trial. It is unclear whether they have been charged. The girl's mother was arrested but was later released.
Media reports said the father had told relatives he was unhappy that his daughter – one of nine children – had male friends. The grandfather is said to have beaten her for having relations with the opposite sex.
A postmortem examination revealed large amounts of soil in her lungs and stomach, indicating that she had been alive and conscious while being buried. Her body showed no signs of bruising.
The discovery will reopen the emotive debate in Turkey about "honour" killings, which are particularly prevalent in the impoverished south-east.
Official figures have indicated that more than 200 such killings take place each year, accounting for around half of all murders in turkey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom