Obama denounce anti gay bill in Uganda as 'ODIOUS' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama denounce anti gay bill in Uganda as 'ODIOUS'

Discussion in 'International Forum' started by Koba, Feb 4, 2010.

 1. K

  Koba JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Obama denounces anti-gay bill in Uganda as 'odious'

  (AFP) – 1 hour ago

  WASHINGTON - President Barack Obama on Thursday denounced as "odious" a proposed anti-gay law in Uganda that calls for the death penalty in cases of "aggravated homosexuality."

  "We may disagree about gay marriage, but surely we can agree that it is unconscionable to target gays and lesbians for who they are, whether it is here in the United States or... more extremely, in odious laws that are being proposed most recently in Uganda," Obama said.

  The US leader made the remarks at the annual National Prayer Breakfast, a bipartisan gathering of lawmakers and religious leaders in Washington DC.

  US presidents traditionally attend the event, but it sparked controversy this year because the Christan group that is a sponsor of the meeting has been linked to Uganda's much-criticized anti-homosexual legislation.

  A US ethics group, Citizens for Responsibility and Ethics in Washington, wrote a letter to Obama and senior Democratic and Republican lawmakers asking them not to attend the breakfast.

  Spanish Prime Minister Jose Luis Zapatero, in town for meetings with US officials, also attended the prayer meeting with Obama and used his address to warn against intolerance.

  "I want to defend the right of every person to his moral autonomy, the freedom of all to live with his beloved," he said.

  Obama's comments at the meeting came a day after US lawmakers in the House of Representatives introduced legislation condemning the controversial Ugandan bill.

  The symbolic US measure asserted that "all people possess an intrinsic human dignity, regardless of sexual orientation, and share fundamental human rights," and warned the Ugandan bill, if enacted, "would set a troubling precedent."

  Uganda has been criticized by the United States, the European Union and NGOs over the proposed legislation, which would also criminalize public discussion of homosexuality and could penalize an individual who knowingly rents property to a homosexual.

  Homosexuality is already illegal in Uganda, and punishable by life imprisonment in some instances.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Feb 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  M-7 usimsikilize huyu bwana mdogo Obama. Kila mtu na nchi yake, hakuna anayeweza ku-dictate terms kwa mwenzake. Waganda wekeni sheria ili mkomeshe unyama huu ndani ya nchi yenu, yaani mambo ya Sodoma na Gomora!
   
 3. Omulangi

  Omulangi JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,028
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hongera uganda, hongera m-7. Mmeiepusha nchi yenu na laana. It is a gross curse to practise homosexuality against god, against family, against creation and nature. If homosexuality was just a normal annomaly we would have seen it already in animals. We credit darwin for unearthing the origin of man by studying nature. Plants, insects and animals reflected what brought a conclusion to darwinism. Why not study now animals and other beings in the nature to learn homesexuality (with coitus) is only practised by man. That is un natural
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Feb 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wa "majuu" akili zao nyingi zimewaondolea maarifa? Hayo mambo ya "sexual orientation" yametoka wapi tena?
   
 5. K

  Koba JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  naamini gay & lesbianism sio choice yao ila wanazaliwa hivyo,kwanini wapo dunia nzima na hawa watu wapo thousands of yrs katika civilization zote zilizowahi kutokea,naweza nisikubaliane nao lakini sio sababu ya kuwa punish kwa sababu tuu ni gay & lesbians, wapeni haki zao tuu na waachwe waishi maisha yao...mambo ya ndani yanawahusu nini,cha ajabu wanaume wengi na wanawake wengi sana wanapractice sana sodomy huko vyumbani kwao,Dar ni kama fashion sasa,na msilete story za dini humu maana sio kila mtu anaamini stupid book vitabu zenu.
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pole!
  Tatizo ni uzima ulio nao ambao MUNGU kakupa ndo maana waweza kusema maneno ya kishetani kama haya. MUNGU akusaidie.
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu Obama nafikiri ni Anti Christ group. He is behind all of satanic actions done by Americans. Sasa hivi anatetea hawa "mafirauni" watumike hadharani jeshini ambapo zamani ilikuwa hairuhusiwi kutokana na ushetani wao. Aangalie Marekani itajikuta inakumbwa na majanga kadhaa maana kikombe cha hasira cha MUNGU kikijaa basi tena.
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  ...acha kuandika mambo kama mwendawazimu na huyo mungu wako sijui ni yupi, ngom'be wa kihindi au jua la wagiriki sio kila mtu anaamini kwenye huo upuuzi wako,nyie watu hamtaacha kuchapana na kuuana just kwa sababu ya kuamini hizi s-tupid ideas zilizoandikwa wakati babu yako alikuwa considered ni nyani,kaangalie st-upid wenzako kwenye terror of Mumbai wanavyoua wengine just kwa sababu they not brothers(muslims) and dont worship their god...upuuzi mtupu!
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  ...keep your fukc%6 god out of me,sihitaji kusikia hadithi za watu wa kale waliokuwa wanapigana kwa mikuki na farasi.
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,358
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  Uganda wana haki ya kuamua mambo ya ndani ya nchi yao bila kuingiliwa na taifa lolote la kigeni. Hongera Uganda kwa kulinda asili na haki ya maumbile. Obama kile unachofikiri ni umaarufu ndicho kitakuponza wewe na taifa lako. Ama kweli katika kitabu cha ufunuo ndani ya biblia kimezungumzia habari za wanyama wawili mmoja aliyetoka baharini na mwengine aliyetoka nchi kavu wenye kuziongoza zile nguvu zilizokinyume na Muumba. Huyu wa baharini anasimama kama dini ya uongo na huyu wa nchi kavu anasimama kama mamlaka ya kisiasa. Na taifa hilo lenye ngungu duniani wakati huu wa jioni(magharibi) sii jingine ila Marekani sawa sawa pia na ufunuo 13. Taifa hili ni NO 13. Limeanza na muungano wa majimbo 13 na katika bendera yake kuna nyota 13 na pia mistari(milia) 13. Killa kitu kwake ni 13. Imesemekana huko nyuma kwa baathi ya watu waonaji kwamba kikombe cha uovu wa taifa la marekani kitajaa wakati wa kiongozi mweusi na kulikua na shaka ikawa itawezekana mtu mweusi kupewa usukani wa kuliongoza taifa hilo lenye nguvu duniani. Sasa twaweza kujiuliza swali je Obama ndie mweusi huyo atakaeileta hukumu ya Mungu juu ya Marekani? Pia swali la kujiuliza wana uadilifu gani hao wanaume wanaowaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzao yaani mabasha? Tuseme basi kwamba nao wameumbwa kwa homony za kibasha. Wanadamu tuyakaze macho yetu mbinguni maana ishara za mwisho wa siku zinatimizwa sawa sawa na siku za Sodoma na gomora.
   
 11. K

  Koba JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  hii topic ishavamiwa na trolls & religions fanatics na wengi wao hawatumii vichwa kufikiria,hivi hizi extremism zina tofauti gani na upande mwingine wa kina Osama,ndio maana mnachukiana to death mnaishia kuuana tuu...nyie watu mnahitaji msaada!
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Feb 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo mwenzetu unaya-practice hayo mambo au namna gani, maana nashindwa kukuelewa! Hata ng'ombe huwa hawakosei sehemu ambayo Mungu aliwatengenezea kwa ajili ya kujamiiana! Sasa wewe huelewi nini hapa? Ama kweli dunia tambara bovu!
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja. wote tumuunge mkono m-7
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Feb 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,210
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Ulitaka watu gani ndio watoe maoni yao? Wale wenye jinsia moja wanaokulana wenyewe kwa wenyewe? Na hao unawaona ndio wanatumia vichwa kufikiria kweli au tamaa zao za kishetani ndio zinazowaongoza?
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dunia imevamiwa na viongozi wasio na akili, ambao wameshindwa kujua haki za msingi za binadamu

  Wametawaliwa na tamaa za mali na uchafu, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtetea gay/lesbian, hakuna biological proof kwamba watu hawa wana-exist isipokuwa ni uchafu uchafu unaofaa kulaaniwa for sustainable human life

  Nafikiri m-7 awapeleke kwa Obama wote wakakae huko hapo uganda waondoe uchafu huo agh!
   
 16. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama watu wanazungumzia dini na imani peke yake, bali tamaduni na nature vile vile inasukuma kuona kuwa tabia hii si nzuri, ni chafu na inastahili kupingwa kwa stahili yote(ingawa adhabu inaweza kuonekana ni kali sana.

  Pili siamini kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni kutokana na kuzaliwa hivyo bali ni mazingira na peer gruops ndizo zinazozalisha na kukuza hawa watu kwa sana. Nasema mazingira kwa kuwa ukitaka kuangalia hii tabia imeenea sana ughaibuni ambako wanapewa haki na kuwasupport kwa sana hii ni kusema kuwa kizazi hicho ni kikubwa sana kwahiyo hata watoto wanaozaliwa wanakutana na hizo hali na hivyo kuwainfluence na wao pia. Na katika hizi nchi zetu, globalization ndio inatusumbua zaidi na kuiga kwa sana tamaduni zetu ambazo zamani zilikuwa impermeable kwa hizi tabia za nje kwa sasa zimekuwa more than permeable hata yale makabila yaliyokuwa yakisifika sana lakini nayo yamebadilika mno.

  Jinsi wanavyolelewa watoto katika jamii na katika familia ndiyo inapelekea suala hili. Jiulize kwanini wako wengi sana ughaibuni kuliko sehemu nyingine? Sababu ni kuwa wanapewa fursa ya kuwa hivyo.
   
 17. K

  Koba JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  ...dont fool yourself,wamejaa wengi sana hapo Dar,Mombasa,Tanga etc kuliko hata San fransisco wanaogopa tuu kuwa wazi kwa sababu ya watu kama nyie,inawezekana hata wewe una ndugu wa namna hiyo na forget globalization,has nothing to do na kuwa gay,walikuwepo hata kabla bible haijaandikwa.
   
 18. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Am not fooling myself lakini ukweli ni kuwa Biological natural gays hakuna ila ukweli ni kuwa kwa watu wanaosupport kama nyie huwa wanajitahidi kutengeneza biological means za kuwaweka hawa watu wafanane na jinsia wanazozitaka. Na ukweli unabaki pale pale kuwa Environmental, Societal and Governmental policies are the only factors.

  Mfano mwengine we chukulia mfano Uganda wakibadili sheria hiyo na kusema ushoga ni ruksa inatakuwa na impact gani kwa jamii? Kizazi cha watoto kitakuwa na impact gani?
   
 19. K

  Koba JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  ..hakuna mtu anatengeneza gays & lesbian na wapo before hata hizo so called government hazijaanza,sioni cha ajabu watu kama nyie kuwa forcefull against gays ila History inatufundisha tofauti sana na talking points zenu,hata mtu mweusi alikuwa haruhusiwi kuoa/kuolewa na mzungu na wengi waliamini hivyo na wengi walionewa na kunyimwa rights zao na hata kuuliwa just kwa sababu ni weusi ,hata slavery kwenye bible was legal and normal way of life,anyway these people will fight you to get their civil right na nita wasupport 100%,Europe wamekubalika na wana haki zote na more than dozen states in US wanaruhusiwa kuoana
   
 20. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mchicha mwiba, Mtoto si rizki, Tikiti maji, Kaka pouwa, Bwabwa, Samvu la kopo, Mtoto wa watu, Punga,...........................itaendelea!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...