Obama denounce anti gay bill in Uganda as 'ODIOUS'

Mchicha mwiba, Mtoto si rizki, Tikiti maji, Kaka pouwa, Bwabwa, Samvu la kopo, Mtoto wa watu, Punga,...........................itaendelea!

..angalia tuu usije kimbia humu!
 
...dont fool yourself,wamejaa wengi sana hapo Dar,Mombasa,Tanga etc kuliko hata San fransisco wanaogopa tuu kuwa wazi kwa sababu ya watu kama nyie,inawezekana hata wewe una ndugu wa namna hiyo na forget globalization,has nothing to do na kuwa gay,walikuwepo hata kabla bible haijaandikwa.

Koba tuambie ukweli, huwa "wanakugeuza...?" I am highly suspicious of your behaviour!
 
I am against gay and lesbianism maana ni kweli kuwaachia sana kutafanya wakubalike katika jamii na kuzidi kuwa wengi. Nakumbuka miaka ya nyuma sana hatukuwa na kitu kama hicho hapa Tanzania na kama walikuwepo basi walijificha sana na hawakuthubutu kufanya mambo yao hadharani, ila kwa sababu ughaibuni wamewakubali kwa asilimia kubwa ndio maana na Africa imekuwa kitu cha kawaida na utaweza kukutana nao hata club usiku na wasiwe na aibu yoyote tofauti na zamani.

Some of them, this is how they start: Mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaanza kuchezewa na kaka yake mwenye miaka 12 wakati wazazi hawapo wako kazini, kaka anamtisha kuwa ukija kumwambia mama/baba nitakupiga sana wakienda kazini. Mtoto anakaa kimya hathubutu kusema until he gets use to it. So, siku mama akimuogesha (which is not everyday coz housegirl always does it) ndio anaona alama za michubuko ambayo imepona na anapomuuliza mtoto anakataa kusema mpaka mama anaamua kumchapa sana na ndipo anasema ukweli. This woman's solution is to separate them without knowing its already too late.

This child will never be normal, this is exactly what he is gonna do in his entire life. Now are you saying he deserves a life imprisonment? Adhabu ambayo Uganda imewapa ni kubwa sana. I know its un-natural for a human to do that, lakini we should all agree that the punishment is so unbearable. Few girls practice homosexuality in boarding schools because they share beds with their fellow girls for 2-4years.

“I asked President Museveni to get us an island on Lake Victoria and we take these homosexuals and they die out there. If they die there then we shall have no more homosexuals in the country.” This is the statement from one of the anti-gays in Uganda that I got on google. Yes, a country without homosexuals is a blessed one but is this a right solution? Is it true that there will be no more homosexuals in the country? We need a better plan which will start with our children first.
 
..hakuna mtu anatengeneza gays & lesbian na wapo before hata hizo so called government hazijaanza,sioni cha ajabu watu kama nyie kuwa forcefull against gays ila History inatufundisha tofauti sana na talking points zenu,hata mtu mweusi alikuwa haruhusiwi kuoa/kuolewa na mzungu na wengi waliamini hivyo na wengi walionewa na kunyimwa rights zao na hata kuuliwa just kwa sababu ni weusi ,hata slavery kwenye bible was legal and normal way of life,anyway these people will fight you to get their civil right na nita wasupport 100%,Europe wamekubalika na wana haki zote na more than dozen states in US wanaruhusiwa kuoana

Haikusemwa kuwa kuna mtu anaweza kutengeneza gays & lesbians, point ni kuwa wanajitahidi kutumia njia za kibaiolojia kuwa hawa wafanane na jinsia wanazotaka.

Kitu kingine labda uweke bayana, wewe unapigania haki za mashoga au ni shoga anayepigania haki yake? Please be honest!
 
hizi ndio zama za mwisho kwani binadamu na akili timamu wanajifanya hamnazo, god bless all who against homosexuality, this is unhuman, god put us in the world and the only reason he put people of different sex is to fomr union where they can produce children, marriage is sacred thing, now how union of same sex fulfil Gods wishes of making childrens? the world did not start from no where with some wishful thinking, god made world for a purpose, hear this, god made us to his own image think of people of same sex join together! our bodies are gods palace now can homosexuals give a thought about how they are using it? its disgrace!
 
Haikusemwa kuwa kuna mtu anaweza kutengeneza gays & lesbians, point ni kuwa wanajitahidi kutumia njia za kibaiolojia kuwa hawa wafanane na jinsia wanazotaka.

Kitu kingine labda uweke bayana, wewe unapigania haki za mashoga au ni shoga anayepigania haki yake? Please be honest!

Duh! Let's wait for Koba's reply on Ray B's querry.

Hawa mashoga, na wanaojidai wanapigania haki ya mashoga kuingiliwa kwa nyuma wana matatizo sana, ya kimwili pia ya kisaikolojia.

Hakuna mtu aliyewagongea mlango wanapokuwa chumbani wakipakuliwa samvu la kopo, ila bado wana kelele sana, yaelekea wanataka kutambuliwa kama 'couple'.

Nawauliza mashoga: Hivi kwanini mpaka ulazimishe "kutambuliwa?". Si uendelee "kushughulikiwa" tu kimyakimya?

Hii ikatazwe kabisa, kwani ikiruhusiwa kitakachofuata wataanza kudai waruhusiwe kusajiliwa kama mume na mke.

Na baada ya hii watataka "haki" ya ku-adopt watoto.

Hatimaye mkakati wao ni kulea watoto katika misingi ya kishoga ili kuwa na kizazi kijacho cha wanadamu ambao ni *******/mashoga.
---------

Obama aendeleze ushoga wake kwake Marekani
 
Nyie watu acheni upumbavu wenu na chuki za kishenzi kwa hao gay & lesbians,hawajawachukulia chochote wala hawajawaambia muwe kama wao,hao watu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo kama sehemu ya society yetu na hakuna chochote mnachoweza kufanya zaidi ya kuwatolea kashfa na kuwatukana matusi yote mliyofundishwa na kuonekana washenzi tuu,watu wanapendana wao nyie inawahusu nini kuwapangia namna ya kuishi,nyie mbona hamjalazimishwa kuwa chochote msichopenda,hawa watu hata mseme nini watapigania haki yao na wataipata na watatambulika na kuwa protected na laws zote zinazolinda binadamu,someni civil rights movements na arguments za mabaguzi walizokuwa wanatoa mtajiona hamna tofauti nao,na hawatasubiri approval kutoka kwa wapuuzi kama nyie ili waishi maisha yao,life goes on na soon watapata haki zao na society ita move on na kama kawaida mengine yataibuka kama yaliyopita ya ubaguzi,slavery,wars etc lakini good people will fight again.
 
Nyie watu acheni upumbavu wenu na chuki za kishenzi kwa hao gay & lesbians,hawajawachukulia chochote wala hawajawaambia muwe kama wao,hao watu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo kama sehemu ya society yetu na hakuna chochote mnachoweza kufanya zaidi ya kuwatolea kashfa na kuwatukana matusi

Yaani wanapofanywa nyuma wewe unaona sio matusi ila tunapokemea tabia hiyo ya kishetani ndio inakuwa matusi? Wake up please! Vitu vingine usije ukafikiri kuwa ni haki za binadamu kumbe ni upunguani!
 
Yaani wanapofanywa nyuma wewe unaona sio matusi ila tunapokemea tabia hiyo ya kishetani ndio inakuwa matusi? Wake up please! Vitu vingine usije ukafikiri kuwa ni haki za binadamu kumbe ni upunguani!

...soon utakuja kujua wewe ni punguani!
 
...soon utakuja kujua wewe ni punguani!

Haya mambo ya Sodoma na Gomora yalisababisha miji hiyo kuangamizwa! Nasikia wanawake wanaoliwa nyuma huwa wanapata shida sana kwenye uzazi kwa kuwa "nati" za haja kubwa zinakuwa zinalegea! Kwa hiyo nasikia huwa wanawekewa matambara nyuma ili iwepo pressure ya kusukuma mtoto wakati wa kujifungua! Sasa kama huo si upunguani ni nini? Hawa mashoga wataipata fresh wakati muumbaji atakapoanza kugawa dozi za adhabu ya Jehanamu!
 
...like your lesbian mother and your gay dad!


Kha!

oh yes YOU ARE!

Wanajamvi ashakum si matusi lakini kwa wale mnafuatilia TV zetu za kibongo EATV wakati wakianza walikuwa na kipindi exclusive kwa Uganda; nadhani bado kipo maana nilichefuliwa mno na kwakweli nilipunguza ushabiki kwa hiki kituo! Walikuwa na ka-bwamdogo flani akanatangaza kipindi hicho; aah kwa kweli ilikuwa inanitia kinyaa kuakasikiliza na nilishawahi kuwatumia sms na email kadhaa kuuliza ikiwa wao wanasupport ushoga maana kwa namna zote hako kabwabwa kalikuwa kanijitanabahisha katika tambo zote za kike!

Mshangao wangu haukuishia hapo nikiwa nafanya kazi kampuni flan hapa dar tuliwapa tenda ya kutukagua Hawa jamaa wa Deloute and touche; walituletea timu ya wakaguzi na mmojawapo alikuwa Mganda amabaye hakyanani ilibidi ofisi iombe wambadili! Ingawa haikuwa proved kwetu; lakini wanaume wote tulisawajika na tabia za huyo kaka wa kiganda!

Nachotaka kusema hii hali ya kustusha sana kuwa huenda kwa wenzetu ni tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria na pia inatisha aidi ukizingatia Uganda ni landlocked na kama wao wameathirika hivyo basi nasi huenda tunakaribia ama tumewazidi!

Mungu awanusuru wanetu!
 
Kha!

oh yes YOU ARE!

...yaani kwa sababu nawatetea hao gays & lesbian basi na mimi lazima niwe kama wao,so is Obama,Clinton,Brown etc wote ni gays ,debating na closed minded kama wewe ni waste of time,keep your shallowness lakini nitaendelea kuwatetea hawa jamaa na sioni ubaya wowote kwa nini wapuuzi kama wewe muwabague na bila aibu hata kazi mnataka kuwanyima and your proud of it,glad kuna watu wanamake sense hapo ofisini kwenu walikataa ombi la lenu la kipuuzi,Netherland sio issue na watu walisha move on na life yao zamani sana,doesnt matter kama wewe ni gay or straight haki zako utapata na utaheshimiwa kama raia wengine tuu
 
...yaani kwa sababu nawatetea hao gays & lesbian basi na mimi lazima niwe kama wao,so is Obama,Clinton,Brown etc wote ni gays ,debating na closed minded kama wewe ni waste of time,keep your shallowness lakini nitaendelea kuwatetea hawa jamaa na sioni ubaya wowote kwa nini wapuuzi kama wewe muwabague na bila aibu hata kazi mnataka kuwanyima and your proud of it,glad kuna watu wanamake sense hapo ofisini kwenu walikataa ombi la lenu la kipuuzi,Netherland sio issue na watu walisha move on na life yao zamani sana,doesnt matter kama wewe ni gay or straight haki zako utapata na utaheshimiwa kama raia wengine tuu

Yaani koba kama sio shosti basi unaelekea huko au unammega mtu ambaye ni shoga. Yaani unatetea mwanaume kuliwa? Mh kazi kweli kweli. Wenzako wakina Brown hao ni political influence lakini ukija real unaweza kukuta nao wanapinga nafsini mwao. Tuambie ukweli bwana watu wala weye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom