Obama congratulates Zambia on ‘historic’ elections

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Why not us,,
tumeendesha chaguzi nyingi lakini huwezi kuona tunawekwa kwenye spot light vyombo vya kimataifa kama bbc,cnn,aljazeera,etc,
Ni lini sisi watanzania tutapata pongezi kama hizi?
labda mataifa mengine yanatuona sisi kama bado sana?au uwezo wetu ni mdogo?
 
Wanatuona bado tupo kwenye zama za mawe tunaongozwa na machief na kurithishana.
 
Back
Top Bottom