Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe kiafya'

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
BBC Swahili

Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe kiafya'

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa kuvuta Marijuana au Bhangi, haina hatari kubwa kwa afya ikilinganishwa na Pombe............Je ni kweli? Unadhani mtizamo wa jamii kuhusu Bhangi ni sawa?

Majimbo mawili nchini Marekani yamehalalisha Bhangi...Colorado na Washington.
1525252_720829181269083_303646103_n.jpg
 
Mambo hayo, sijui mnaofuta upepo mtafanyaje sasa.
 
Kwa kuwa yeye alivuta jiti la NY basi analifagilia! Usikute bado anashtua siku moja moja kisirisiri.
Chondechonde mara utasikia nae anataka kuhalalisha "moonshine" kama Dr Slaa.
Dunia hii haiishi maajabu
 
Hili neno afadhali ya linaonyesha ulinganisho. Kwanini asiseme vyote havifai?
 
Obama mwenyewe anagonga mzigo kama kawa
 
Bi FaizaFoxy alipolisema hili kwa kumshauri Dr. Slaa bora angehalalisha Bhangi kuliko Gongo mlimuona ana elimu ya madrasa na mkambishia. Tena bibie huyo aliitetea sana hoja yake kwa kuanisha mpaka matumizi mengine ya bhangi. Leo Rais wa "dunia" tena PhD holder amekuja kulisema hilihili na dunia nzima imemnukuu. FaizaFoxy ni miongoni mwa Great Thinker halisi wa JF sio nyie wengine msioweza hata kutetea hoja zenu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa yeye alivuta jiti la NY basi analifagilia! Usikute bado anashtua siku moja moja kisirisiri.
Chondechonde mara utasikia nae anataka kuhalalisha "moonshine" kama Dr Slaa.
Dunia hii haiishi maajabu

Hii ni ajabu kwa watu kama wewe mnaofikiri ndani ya box na msioijua vyema dunia.Bob alivuta bangi je unaweza kuniambia iliathiri vip uwezo wake wa kufikiri?JK Nyerere alivuta ingawa mara chache unauonaje uwezo wake kiakili?watu wengi maarufu wasomi wengine wakiwa madaktari tena wazuri sana wanatumia mf dr S..g..d.Watu wa jamaica ndiyo usiseme lakini ni moja kati ya nchi zenye amani sana duniani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
We mwenyewe unavuta ndomana unatetea huu upuzi aaha ukivuta huo uchafu unakushusha heshima bana
 
Kwa kuwa Bob na Nyerere walivuta basi ndio ihalalishwe?
 
bangi bora namuunga mkono obama,maana ktk maisha yangu yote nimetumia bangi tu ila sio kilevi kingine chochote.
 
oh lord i get take it to rif from reality i just can driff @ elizabeth dominic
 
Ngoja nikalipulize kwanza.....Familia nzima tunavuta na kila kitu kipo ok....Ukihitaji njoo kws pm.
 
BBC Swahili

Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe kiafya'

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa kuvuta Marijuana au Bhangi, haina hatari kubwa kwa afya ikilinganishwa na Pombe............Je ni kweli? Unadhani mtizamo wa jamii kuhusu Bhangi ni sawa?

Majimbo mawili nchini Marekani yamehalalisha Bhangi...Colorado na Washington.
1525252_720829181269083_303646103_n.jpg
Inawezekana!
 
We mwenyewe unavuta ndomana unatetea huu upuzi aaha ukivuta huo uchafu unakushusha heshima bana

anaishi kwa kuiga kila walichofanya watu maarufu duniani. Aige na ushoga basi manake duniani kuna waziri mkuu shoga.
 
Back
Top Bottom