Obama atembelea mitambo ya Symbion|Ubungo na Kisha kusafiri kuelekea US

Kinachofanyika ni mipango ya makusudi kuhalalisha watanzania kulipa madeni ya mafisadi wa Richmond. Inajulikana hata yule mwarabu aliyekuja alitokea hapa nchini akapewa ubatizo kuwa katoka huko OMAN, isingekuwa Kiongozi mkuu wa nchi ni miongoni mwa wahusika tayari hatua zingechukuliwa lakini waliohusika ndio viongozi walioko madarakani hakuna wa kuulizwa wala kuleta majibu sahihi. Pia unaona wanaJF wanachelea kutoa maoni kwa kuwa ni maumivu tu, hata wakichabgia ni sawa na kutwangia maji kwenye KINU. Umeona jinsi MBWA wanavyopekua gari la waziri wa uwekezaji ikiwa na maana kuwa hakuna anayeaminika hapa TZ.
 
Muda huu rais Obama na mwenyeji wake rais Kikwete, yupo kwenye mitambo ya kufua umeme ya Symbion iliyopo Ubungo ambayo inafadhiliwa na Marekani. Anaendelea kukagua na baada ya hapo ataweka jiwe la msingi la uzinduzi.

Tunahitaji Sameli sitta,mama kilango malechela,mwakyembe,membe,sendeka,selelii,mengi na kundi lao la makamanda feki walioiita rchmond/dowans/symbion kampuni fake ya lowasa na rostam waje kwenye jmavi leo kwa taarfa tu walkuwa wamejpanga barabarani kumshangilia obama kwenda ubungo kuzndua mitambo ya symbion lowasa akiwa kwa pembeni na JK watafcha wapi aibu yao hawa wazandki na wanafki wakubwa makamanda fake wa ufsadi sta na wenzake tamaa ya madaraka itawaua hawa jamaa
 
Ameambiwa eneo analoenda kuzindua lina kashfa ya RUSHWA. RICHMOND/DOWANS -SYMBION
 
Kinachofanyika ni mipango ya makusudi kuhalalisha watanzania kulipa madeni ya mafisadi wa Richmond. Inajulikana hata yule mwarabu aliyekuja alitokea hapa nchini akapewa ubatizo kuwa katoka huko OMAN, isingekuwa Kiongozi mkuu wa nchi ni miongoni mwa wahusika tayari hatua zingechukuliwa lakini waliohusika ndio viongozi walioko madarakani hakuna wa kuulizwa wala kuleta majibu sahihi. Pia unaona wanaJF wanachelea kutoa maoni kwa kuwa ni maumivu tu, hata wakichabgia ni sawa na kutwangia maji kwenye KINU. Umeona jinsi MBWA wanavyopekua gari la waziri wa uwekezaji ikiwa na maana kuwa hakuna anayeaminika hapa TZ.

hahaha!! Hakuna la maana
 
nahisi tanzania ni ktk nchi ambazo hatakanyaga tena, wakenya na waganda walimhoji live alipokuwa kule south. majibu ya obama yalipa jibu la maswali mengi. View attachment 100485Obama hana furaha kama aliyozooleka nayo, akiwa senegal alionyesha furaha, na afrika ya kusini, lkn kwa TZ hana furaha yake tuliyomzoea
  • ninamashaka
  • umasikini umeshtua sana
  • hata rais kikwete hakuwa akijiamini
  • hali ya maisha ya watanzania ni ya kusikitisha na obama aliumia sana wakati akiwa anaelekea ikulu, watz walivyoshindwa kujizuia kuingia karibu na kingo za barabara kumuona, kisha anaambiwa nchi tajiri mali asili, na viongozi wake wamenenepeana.View attachment 100485
  • obama atachukua hatua dhidi ya viongozi, View attachment 100485na ndio maana alisisitiza sana utawara bora
  • lazima!

View attachment 100485
una mawazo ya Kike km hao viongozi wa kenya, Uganda na Rwanda (samahani si maneno yangu nimecopy na kupaste) kwa ninyi wote wenye wivu ambao hamkufuatilia ujio wake maana hamkosi matusi
 
Tunahitaji Sameli sitta,mama kilango malechela,mwakyembe,membe,sendeka,selelii,mengi na kundi lao la makamanda feki walioiita rchmond/dowans/symbion kampuni fake ya lowasa na rostam waje kwenye jmavi leo kwa taarfa tu walkuwa wamejpanga barabarani kumshangilia obama kwenda ubungo kuzndua mitambo ya symbion lowasa akiwa kwa pembeni na JK watafcha wapi aibu yao hawa wazandki na wanafki wakubwa makamanda fake wa ufsadi sta na wenzake tamaa ya madaraka itawaua hawa jamaa

Mkuu tatizo haikuwa mitambo, bali utawala bora ktk process nzima.transparency never prevealed, ndiyo pingu ya lowassa
 
Hapo ndio watanzania wajue kama viongozi wetu ni madafu ndani maji tu, maana kule bugeni watu walipiga sana kelele wakati kipindi kile mitambo hiyo haijanunuliwa na SYMBIONI wakati tanesco wanataka kuinunua kumbe kulikuwa na jambo kubwa hapi linafichwa
 
Jana niliandika kuhusu demokrasia na rasilimali za taifa,,,nadhani obama naye kaliwaza hilo ingawa sijui dhamira yake,,,,,,,, kwa ujumla nawaasa wale wenye nia ya uongozi kuwa tuwajali watanzania kwa kufanya rasilimali zetu zihuishe uchumi wa watanzania;
 
kama Bush , alivyoleta net za mbu na kuondoka na Dhahabu na Uranium , sijui Obama kama ataacha Mafuta na Gesi, Watanzania fungueni macho. Mleta mada hakika ana lake jambo.
 
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya Rais Obama kuzungumza Ubungo, Waziri Muhongo amesema Vibali vya kufua umeme vinapatikana chini ya masaa mawili. Sijui Muhongo anazungumzia mambo gani na kwenye nchi gani.

Kuna taarifa zinaanza kutapakaa kwamba shirika Fulani la kimarekani lilitaka kuwekeza $1.6billion kwa ajili ya kutengeneza MW 800 bila masharti yoyote walizuiliwa hapo wizarani kwake baada ya yeye Muhongo kuwakashifu sana hao wazungu. Hizi ni habari toka moja ya taasisi chini ya wizara.
 
Watanzania tujipime akili zetu. Leo asubuhi kama saa mbili maeneo ya Mwege maarufu Nakiete Pharmacy kituo cha ITV) kundi la watu walio shushwa na Daladala walizuiwa kuvuka barabara na walinzi (sikufahamu kampuni hiyo ya ulinzi) wakiwemo askari polisi wakiwa na kikosi cha mbwa kisa wataingilia msafara wa Obama!. Just imagine msafara huo ulipita kama saa 5 za asubuhi! Watu hao walikuwa wanawahi kwenye vibarua vyao. Alinifurahisha mmama mmoja akavuka kwa nguvu na wote wakafanikiwa kupita kwa kumfuata.

Huyo mama asinge lazimisha kuvuka kwa nguvu, watu wangeshindwa kuendelea na shughuri zao!. Obama wasalimie Marekani lakini umetuachia maajabu kama haya ya kuzuiwa kuvuka barabara!

My take watanzania tunaendelea kuwa na matatizo kuruhusu watu wasio na uwezo wa kutumia busara kuwa na AUTHORITY!
 
hivi anajua kwamba hiyo mitambo sio mipya? Na je ingekuwa america wangekubali itumike?
makamanda feki wa ufsadi samweli sta,mwakyembe,membe,sendeka,mama kilango malechela,selelii,lembeli mfadhili wao mengi na watafcha wapi aibu yao walioita symbion/dowans mradi wa lowasa leo wanapanga foleni kumpungia lowasa na obama wakielekea ubungo kuzndua mitambo aibu gani hii akna mwakyembe sku za mwzi ni arobain hakika kina mwakyembe wameaibika mchana kweupe wanafki wakubwa hawa
 
Leo obama amezndua mitambo ya DOWANS/SYMBION LLC makamanda feki wa ufsadi samweli sta,mwakyembe,membe,sendeka,ma ma kilango malechela,selelii,lembeli mfadhili wao mengi na watafcha wapi aibu yao walioita symbion/dowans mradi wa lowasa leo wanapanga foleni kumpungia lowasa na obama wakielekea ubungo kuzndua mitambo aibu gani hii akna mwakyembe sku za mwzi ni arobain hakika kina mwakyembe wameaibika mchana kweupe wanafki wakubwa hawa wanaipeleka wap nchi yetu kna sita na wenzake mbona ni wanafki na waoga
 
Wish u a safely journey papaa barack obama.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372761378051.jpg
    uploadfromtaptalk1372761378051.jpg
    13.6 KB · Views: 139
Back
Top Bottom