SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Mkuu Nyani Ngabu kilichowaudhi black ni hicho hapo chiniKama ni hivyo kwa nini sasa weusi walikasirika pale Newt aliposema Obama ni food stamp president? Manake walianza kudai sijui hiyo ni racist code language....racist code language kivipi wakati wazungu wengi ndo recipients wa food stamps?
Limbaugh: NAACP would've cheered Romney if he promised them more food stamps
- ELECTION12
- JULY 12, 2012
- BY: ROBERT SOBEL
Rush Limbaugh
Washington Post