chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Sio Kama kwenu Nchi ya Giningi Bi:Kilembwe anahesabu na mademu sake chumbani huku akila mahaba afu nje analindwa na mabawabu![emoji85] [emoji85]Nimetamani bure kuwa mmarekani. Hakuma kura inayohesabiwa chumbani. Kura zote zina flow unaziona laivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.Sio Kama kwenu Nchi ya Giningi Bi:Kilembwe anahesabu na mademu sake chumbani huku akila mahaba afu nje analindwa na mabawabu![emoji85] [emoji85]
Shame !!!
Hivyo ndio vituko vya Giningi Madam! Na uhalisia wake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
Dah huku Africa hakuna kutoa madaraka bila watu wa sio na hatia kuuliwa ndo maana kuna laanaAfrika ingeleta shida Tanzania mpaka wanasema hatuwezi kumwachia nchi mtu Fulani huwezi kujivunia utanzania
Obama amekonda siku mbili tu,anatia huruma sana,alitegemea sana hilary atatoboa,
chama kimepoteza viti kiasi kuwa maamuzi yote yatafanywa na republican,
kweli mkosi kabambe,
.
democrat wameloose power videadlyMkosi gani?
Yaani we jamaa. Hakika wafrika akili zetu sijui zimejaa majipu. Unanichanyaga sana unavyoipaishaga hiyo us tena kwa mikogo kama nakuona vile .Hiyo ndo USA bana....taifa bora kabisa katika historia ya mwanadamu.
democrat wameloose power videadly
democrat wameloose power videadly
Yaani we jamaa. Hakika wafrika akili zetu sijui zimejaa majipu. Unanichanyaga sana unavyoipaishaga hiyo us tena kwa mikogo kama nakuona vile .
Huyu jamaa ndo alitabiri zaman sana
What "ever"USA baby....greatest country ever.
Aiseeeee Trump ameogopa kabisa kumwangalia Obama machoni, first sign ya aibu kubwa sana akirudi nyuma na kutafakari yale matusi yote aliyomtukana Obama. Obama is a gentleman full of power and self estim, leave away determination. Huyu jamaa anaonekana ni mkatili sana na ukweli hana amani moyoni mwake. Pia Obama straight hayuko happy kabisa na ni kwa vile tu ni democracy ila hakika anaona anampa nchi katili.
sasa ungeona Trump anavyoongea hapo ndo ungejua kawa mnyenyekevu,yaani ana maanishe zile zilikua kampeni,lakini naona CNN wanazidi kumpiga Trump za mbavu kwa kuirudia ile tape ya Trump akiongelea yule mwanamke,Aiseeeee Trump ameogopa kabisa kumwangalia Obama machoni, first sign ya aibu kubwa sana akirudi nyuma na kutafakari yale matusi yote aliyomtukana Obama. Obama is a gentleman full of power and self estim, leave away determination. Huyu jamaa anaonekana ni mkatili sana na ukweli hana amani moyoni mwake. Pia Obama straight hayuko happy kabisa na ni kwa vile tu ni democracy ila hakika anaona anampa nchi katili.
Wakina mkapa na mwinyi nape Jk wangekataa katakata utafikiri nchi wamekatia ati miliki Viongonzi wa Afrika wasipoenda demokrasia jana ndo walikua wa kwanza kumpongeza tramp
Afrika ingeleta shida Tanzania mpaka wanasema hatuwezi kumwachia nchi mtu Fulani huwezi kujivunia utanzania
That's demecrocy
Wastaarabu hawa jamaa