Si ajabu amemuambia.Haki na amri za Mungu zi juu ya hicho mnachoita haki za binadamu. Ndoa za jinsia moja ni mteremko mkali kwenda jehenamu na wewe utawajibika.
Pili, uwezo mliopewa hauhalalishi ubabe wenu duniani. Unakumbuka mtangulizi wako alionywa kuhusu Iraki sasa mmepata nini huko? Vita imeisha? Basi anza kutubu.