Obama aliapishwa mara ya pili bila biblia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama aliapishwa mara ya pili bila biblia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Jan 24, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NIMEPATA UTATA WA UHALALI NA MAANA YA RAIS WA MAREKANI BARAK OBAMA KUAPISHWA MARA YA PILI BILA KUTUMIA BIBLIA KAMA ALIVYO FANYA MARA YA KWANZA.
  NAPATWA NA WASI WASI KAMA JAMBO HILI NI SAWA.
  Exaud J.Makyao
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Kwani Biblia inatajwa kwenye Katiba kama kitu cha lazima kwenye kiapo Marekani? Sidhani. Kutumia Biblia ni chaguo la anayeapa (kama ilivyo Tanzania)

  Iwapo kiapo cha kwanza kilikuwa valid, basi mara ya pili Obama "alirudia" kiapo. Kurudia kiapo ni kuapa mara mbili? Kwa mfano, wengi tunapenda kurudia ahadi za ndoa tunaposherekea Jubilee ya Ndoa (25 years). Kwa kurudia huko, utasema tumeoa mara mbili?

  Kama kiapo cha kwanza cha Obama hakikuwa valid, basi aliapa alipofanya hivyo mara ya pili. In either case aliapa, validly, mara moja tu.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Je waungwana ni kweli Chief Justice aliamua kumuangusha makusudi Obama???????

  Is it really a cospiracy theory kwa kuwa Obama ni Black Amerikan?
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kumuangusha kwani alizuia Obama asiwe Rais?. Hivyo ni vitu vya kawaida hutokea mara moja moja hasa kwenye situation kama hiyo ambayo Chief Justice anajua kuwa naye anaingia katika Historia lazima achachawe kidogo. Na hasa kama alijifanya ameweka kichwani maneno yote.

  Hakuna kitu kama hicho kumuangusha. Na kitendo cha kurudia mara ya pili ni kuzima midomo michafu ya kina Rush na conservative wengine wasipate talking show kwa miaka 4.
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa katiba Obama alishakuwa raisi saa sita kamili mchana Januari 20 hata kabla ya kiapo, hivyo hicho kiapo cha pili it was, but just irrelevant.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Serikali haina dini.
   
 7. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #7
  Jan 24, 2009
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Unaongelea nchi gani?
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Unajua Obama akiwa senata alipiga kura kutomkubali huyu Chief Juctice..je yawezekama aliamua kummgeuzia kibao kwa makusudi?
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  waseme mara mia atabaki kuwa raisi
   
 10. S

  Simoni Member

  #10
  Jan 24, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waseme waseme na kusema ni kutaka. Baraka Huseni Obama ndiye Rais. Na kusema ni kutaka
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Marekani, au Obama raisi wa nchi gani?
   
Loading...