ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,526
- 15,567
WEWE NI KICHWA CHA PANZI!Jaribuni kuwa na akili huru sio akili za kitumwa.. Mbona mnajilazimisha kuwa watuma kila miaka??
Kila linalofanyika marekan na Tznia lifanyike.?
Obama juzi karuhusu wanaume kuoana kwahyo nanyinyi mnataka Magufuli awaruhusu muoane??
Mnajidharirisha sana mijitu mizima mnataka kila kitu muige.. Ndio maana mnaishia kufirwaa tu kwasababu hata yasiyo wahusu mnataka myafanye..
Kuna sehemu nimesema TZ iwaige wamarekani?
Kuiga kitu ni jambo baya?....wewe hujawahi kuiga chochote?....mbona username umeiga kwa wagiriki?
Siku nyingine utumie ubongo kufikiri na sii makalio!