Obama akikaguliwa airport (VIDEO)

Obama akikaguliwa airport (VIDEO)

HII imetokea huko Chicago nchini Marekani ambapo rais Obama alilazimika kukaguliwa ID yake na maafisa usalama wa uwanja wa ndege,swali la kujiuliza je hii inaweza kutokea Bongo?

Kwanini mnataka kulazimisha kila kinachotokea Marekani basi kitokee pia na hapa Tanzania? Kwahiyo na siku nyingine Rais Obama akitakiwa kuvua nguo zote ili abakie na ' boksa ' yake tu apite katika scanning machine mtataka pia na ' Mukulu Bilanga ' wetu wa Kisubi hapa ' Bongo ' nae awe ' anachojoa ' hivyo hivyo? Wabongo bhana!
 
Swali lilikuwa rahisi tu... kwa Tanzania inawezekana??
Ilikuwa tu ujibu "Haiwezekani"

Maneno yooote ya nini??
 
Obama yupo poa sana....kifupi anafanya vitendo vya kijasiri anajiamini. Hivyo inapaswa kuwa....yes
 
Hahahahahahahahahaha mnanyooshana humu ndan n sheeeeeegda
 
HII imetokea huko Chicago nchini Marekani ambapo rais Obama alilazimika kukaguliwa ID yake na maafisa usalama wa uwanja wa ndege, swali la kujiuliza je hii inaweza kutokea Bongo?

Ukitafakari bandiko utaona kuwa sio kawaida hiyo kutokea, Alilazimika. Hata Bongo ikilazimu, itabidi tu afanyiwe.
For sure, they will not do this to Trump.
 
Kwanini mnataka kulazimisha kila kinachotokea Marekani basi kitokee pia na hapa Tanzania? Kwahiyo na siku nyingine Rais Obama akitakiwa kuvua nguo zote ili abakie na ' boksa ' yake tu apite katika scanning machine mtataka pia na ' Mukulu Bilanga ' wetu wa Kisubi hapa ' Bongo ' nae awe ' anachojoa ' hivyo hivyo? Wabongo bhana!
haina maana hiyo kama unavyofikiri mkuu,ila ni kujaribu kuvuta picha tu ya jinsi hali ilivyo huko majuu na hapa downtown home
 
HII imetokea huko Chicago nchini Marekani ambapo rais Obama alilazimika kukaguliwa ID yake na maafisa usalama wa uwanja wa ndege,swali la kujiuliza je hii inaweza kutokea Bongo?

Wabongo bana mnadanganyika kirahisi kweli, yaani na wewe umaeamini mwenyewe kila kitu hapo, kesho utaamimni paia anakwenda shoping supermarket bila walinzi yote unameza tu kama zumbu kuku
 
Bongo Mtukufu akiingia airport hadi majirani wanajua, mkwara mzito kama dume la Kima.
Jaribuni kuwa na akili huru sio akili za kitumwa.. Mbona mnajilazimisha kuwa watuma kila miaka??

Kila linalofanyika marekan na Tznia lifanyike.?

Obama juzi karuhusu wanaume kuoana kwahyo nanyinyi mnataka Magufuli awaruhusu muoane??

Mnajidharirisha sana mijitu mizima mnataka kila kitu muige.. Ndio maana mnaishia kufirwaa tu kwasababu hata yasiyo wahusu mnataka myafanye..
HII imetokea huko Chicago nchini Marekani ambapo rais Obama alilazimika kukaguliwa ID yake na maafisa usalama wa uwanja wa ndege,swali la kujiuliza je hii inaweza kutokea Bongo?
 
Hawajamaa wakovitani maisha yao yote lakini huwezi kumuona kazungukwa na wanajeshi zaidi ya maafisa usalama. Hapa kwetu RC tu anazungukwa na wanajeshi na FFU.
 
Back
Top Bottom