Obama administration to consider Gay Rights when allocating Foreign Aid! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama administration to consider Gay Rights when allocating Foreign Aid!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Dec 6, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  JULIE PACE 12/ 6/11 12:14 PM ET [​IMG]

  WASHINGTON - The Obama administration is announcing a wide-ranging effort to use U.S. foreign aid to promote rights for gays and lesbians abroad, including combating attempts by foreign governments to criminalize homosexuality.

  In a memorandum issued Tuesday, President Barack Obama directed U.S. agencies working abroad, including the State Department and the U.S. Agency for International Development, to use foreign aid to assist gays and lesbians who are facing human rights violations. And he ordered U.S. agencies to protect vulnerable gay and lesbian refugees and asylum seekers.

  "The struggle to end discrimination against lesbian, gay, bisexual, and transgender persons is a global challenge, and one that is central to the United States' commitment to promoting human rights," Obama said in a statement.

  Secretary of State Hillary Rodham Clinton is also expected to speak about the announcements in Geneva later Tuesday.


  The White House said Tuesday's announcement marked the first U.S. government strategy to combat human rights abuses against gays and lesbians abroad.


  The order also directs U.S. government agencies to use foreign assistance to protect human rights and advance non-discrimination, and work with international organizations to fight discrimination against gays and lesbians.


  Gay rights groups praised the order as a significant step for ensuring that gays and lesbians are treated equally around the world.


  "Today's actions by President Obama make clear that the United States will not turn a blind eye when governments commit or allow abuses to the human rights of LGBT people," said Joe Solmonese, president of the Human Rights Campaign, a gay advocacy organization.


  The presidential directive applies to all U.S. agencies involved in foreign aid, assistance and development, including the Departments of States, the Treasury, Defense and Homeland Security.

  [​IMG]

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  No Free AID; AID nowadays with Attachments... HOMO acceptance!!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu!! Kwisha habari yetu. Jamani tutumie raslimali zetu kujitegemea ili kuepukana na madhira haya na aibu hizi za misaada!! Cameroun aliposema watu wakabeza wakatoa na matamko, sasa kaka mkuu wa dunia naye amesema sasa tusikie matamko na kejeli toka kwa wakubwa!

  Eeeh Mungu tuepushe na hili balaa.
   
 4. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka hapa Tanzania kuna baadhi ya wandishi limpukeni au njaa ambao mara kwa mara Utawasikia Bwana Bushi kwamwaga madola mara USA wamimina mapesa ,kunauwezekano siku moja Vongozi wanokwenda kuomba na wao wakaombwa kama ni sibitisho lao kuwa hawana matatizo na matumizi ya (MAKADI )makalio (Uso wa kukirimiwa hauwachi kuona haya) huwezi kuwa unakarimiwa siku zote ipo siku mwenye kukukarimu nae akaomba ulezi wake.
   
 5. A

  Ame JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Haya we mpinga kristo nje nje sasa! Kipi ni right zaidi kati ya ugay na watoto kukaa mtaani; ma-albino kuuawa; waafrica kufa kwa njaa huku madini na ardhi yao yaki kwapuliwa; etc? Mbona hapo kelele si kubwa kiasi hicho? Mbona hata siku moja hawajakemea vitendo vya mashirika yao ya kinyonyaji kunyanyasa maskini wa dunia? Haya acha wafanye chap chap ili ukombozi wetu uwe nao chap chap!
   
 6. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  to the end of the road.
   
 7. Biznocrats

  Biznocrats JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea imekuwa fashion kwa viongozi wa Tanzania kuwa na uraia wa nchi mbili - Nchi ya magharibi na Tanzania. Kwa muelekeo huu tutapona kweli? Utawezaje kubakia na uraia wa magharibi kama huruhusu wananchi wako kushikishwa ukuta? Utakuwaje raia wa nchi ambayo sheria zake huzifuati? Nadhani umefika wakati kila mgombea uongozi aeleze kama ana uraia wa nchi nyingine au la na kama anao ni nchi ipi ili wapiga kura waweze kufanya maamuzi sahihi kwa manufaa ya nchi yetu na vizazi vyetu.
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Apeleke usen.geeeeeeee wake huko huko america.ala! nyamafu sana huyu
   
 9. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ndio mkome kwenda kujipendekeza kwao na bakuli la kuombea misaada!
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nasubiri kwa hamu kubwa kauli ya Membe kuhusu hili la Marekani! Atoe msimamo kama ule aliotoa kwa Uingereza kuwa watakataa misaada. Akika kimya au akitumia kauli laini tutajua alikuwa anatuchezea akili watanzania.
   
 11. Kinyamagala

  Kinyamagala Senior Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MAMBO MENGINE HUWA HAYANISUMBUI KICHWA,IKIWA WEWE SI SHOGA,WALA BASHA SHIDA YAKO NINI? maintain your own bussiness
   
 12. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Serikali ya US nayo imeungana na UK kutaka kuzinyima misaada nchi zinazotegemea misaada kutoka kwao na kuzilamisha nchi hizo kuzitambua haki za mashoga.. Nahisi jambo hili litaenea nchi zote za EU nazo kulazimisha misaada wanayotoa iunganishwe na haki za mashoga.


  Source: NBC evening news with Brian Williams
  [h=3] Clinton: Gay rights are human rights[/h]
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mtakoma na utembezaji bakuli. Tumejaliwa madini lakini hatuna mpango wa kuyatumia kwa manufaa yetu.
   
 14. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gay rights are Human rights............[​IMG]

  i disagree!!!
   
 15. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa jamaa yetu anavyopenda marekani atafanyaje sasa???

  kashaambiwa ukitaka msaada inama kwanza!.........sio mimi, ni Clinton.
   
 16. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hii itakua balaa sasa, UGANDA wamegundua mafuta, JK ataenda huko na bakuli lake....lol...
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Uchumi tunao lakini tunaukalia hahahahahahaha
   
 18. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Well...what choice do you have Eliza ? All your resources are not yours anymore, we are reduced to beggars.
   
 19. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni ujinga wetu unaotusumbua. Hatupaswi kutembeza bakuli. Tunapaswa nasi tuwaambie kuwa nchi yoyote ambayo inaendekeza maadili yanayokwenda kinyume na matakwa ya Mwenyezi Mungu haitaruhusiwa kuchimba madini kwetu. Hapo tunakuwa ngoma draw na ukweli unashinda tu.
  Hii tabia ya ushoga ni addiction tu siyo ya kuzaliwa nayo, hivyo mtu anaposema ni human right akiilinganisha na haki ya kuishi, hakika ni upotoshaji. Kama mtu anafikiri si addiction, ebu aanze sasa (hata kama ni mzee wa miaa 70); akifanya mara 3 au 4 hivi atabadilika, halafu atuambie kuwa alizaliwa hivyo!
   
Loading...