Oa ujue thamani ya mwanamke

Kama kuna nnao wa heshimu jf kwa michango yao hekima,ushaur mzur bhas ww n no 2 maana no 1 ipo kwa mzizi mkavu anyway heshima kwako

Nkifkia kuoa please usisite kupokea cad ya mwaliko
 
Glory be to God. I appreciate mnooo. Na wewe usisite kumuonesha mkeo jinsi unavyompenda once mkioana, mtajikuta mnafanyiana mambo amazing mno hata ambayo hamkuyawaza.

Mpendwa, ntaipokea kwa mikono miwili, tuombe tu uzima

Kama kuna nnao wa heshimu jf kwa michango yao hekima,ushaur mzur bhas ww n no 2 maana no 1 ipo kwa mzizi mkavu anyway heshima kwako

Nkifkia kuoa please usisite kupokea cad ya mwaliko
 
Kama kuna nnao wa heshimu jf kwa michango yao hekima,ushaur mzur bhas ww n no 2 maana no 1 ipo kwa mzizi mkavu anyway heshima kwako

Nkifkia kuoa please usisite kupokea cad ya mwaliko
Ic kweli yuko positive sana
 
Ni kawaida mwanamke akijifungua mume hupenda zaid!

Hapo umefurahia mkeo kujifungua tu

Hongera
 
Hongera ndugu, hiyo thamani uliyonayo juu yake ni kwa sababu umempata MWANAMKE, sio wa kike
 
Ni wachache sana wenye kuja na kuizungumzia thamani ya mwanamke ndani ya nyumba.
Wengi wakikaa wanawaza kuwala wasaidizi wa ndani hawana kingine.
 
Congrats for turning to a man from a boy.
Upendo na heshima ni foundation ya ndoa yenye furaha.
 
syo tofaut ndio hali ya kawaida ilivyo .kutofautiana n kipind cha kupita tu.
 
Nakupongeza kwa kuipenda na kuiheshimu familia yako. Raha ya ndoa umpate mnayeendana katika kila nyanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…