Oa ujue thamani ya mwanamke

Mahari uliyomtolea mkeo ina thamani kubwa sana kuliko hela ulizochoma club kwa malaya. Maana wakat wa kutoa mahari kuna ndugu wamekusanyika wameacha mambo yao yote kuja kujumuika kuonyesha umuhimu wake. But kwa hao wa club hamna aliyekupigia makofi wala kukupongeza.
Mahali niliyotoa haizidi pesa niliyo wahi choma club kwa pombe na malaya,kupenda sio teo tendo la kupretend liko automatic sasa acts of love zikimlewesha basi coz ic she gives me back the same
 
sawa mkuu ila simu yake na shika kaka nikikutana na kitu huko nakinukisha tu,I dont believe in privacy ndani ya ndoa,Simu yake yangu yangu yake,
 
Sasa hayo ni maisha gani ya kutomuonyesha mwenzako kuwa unampenda? Mwishowe mtu anaweza akakuacha akidhani humpendi
 
nilikua nakukatalia tu kua sio Mahali inaniuma ndio maana ya sentesi yangu hiyo ya club otherwise naheshimu sana Mahali kwa thamani ila sio gharama mkuu
 
Sasa hayo ni maisha gani ya kutomuonyesha mwenzako kuwa unampenda? Mwishowe mtu anaweza akakuacha akidhani humpendi
kweli wabongo tunadanganyana sana vijiweni lakini wenzetu wazungu wako real kuonesha feelings sasa waswahili ndio maana wanagongewa kilahisi sababu ya kujifanya makauzu externaly kumbe ndani Hoi
 
Kiukweli title nilivyoiona nilishatoa dongo kimoyo moyo
Ila nipenda sana yaliyondani ya uzi wakoo
Balaa ni koment za watu ambazo zimenikatisha tena tamaa!

Nimeamua sisomi tena koment! Uzi umenivutia kuoa
 
enjoy to your fullest, "keep praying...keep planning...keep pushing"
 
mmmhh tubadilishane na mume wangu baaasii!!
hongera mwaya kwa kuwa mume bora kwa mkeo mko wachache ujue!
usiskize maneno ya watu penda mkeo hadi shetani aone wivu!!!!!
ha ha ha ha ha ha ha h tubadilishane 🙂
 
Kiukweli title nilivyoiona nilishatoa dongo kimoyo moyo
Ila nipenda sana yaliyondani ya uzi wakoo
Balaa ni koment za watu ambazo zimenikatisha tena tamaa!

Nimeamua sisomi tena koment! Uzi umenivutia kuoa
hebu comment ulivyotaka kukoment boss
 
sawa mkuu ila simu yake na shika kaka nikikutana na kitu huko nakinukisha tu,I dont believe in privacy ndani ya ndoa,Simu yake yangu yangu yake,
Mapenzi yanajengwa na uaminifu. Huanza uaminifu mapenzi yakafuatia, kutoshika simu siyo unampa privacy ila ni kumuamini kwako ndiyo kunafanya uachane na simu yake. I hope over time you will understand.
 
Its okay. Nawatakia maisha mema.
nilikua nakukatalia tu kua sio Mahali inaniuma ndio maana ya sentesi yangu hiyo ya club otherwise naheshimu sana Mahali kwa thamani ila sio gharama mkuu
 
Nilikuwa nakumbuka kitu kama hicho na nilijibu, sema sikuwa na uhakika ni Mwaka Mpya au X-Mass.
Poa poa..Uenda mi ndo sikupata notification..Natumai kila kitu kipo poa kwa upande wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…