Oa mwanamke mwenye elimu

Oa mwanamke mwenye elimu

name 97

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2023
Posts
200
Reaction score
553
At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.

As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.

Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.

Oa mama wa watoto wako,

Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.

Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.

Ni ushauri
 
Ukweli mchungu huu ila kwangu mimi angalau diploma ndio minimum ili wakati tunabishana ndani tunabishana kweli na mtu

Unakuta phd holder unabishana na watoto waliokimbia shule!!! Yaani darasa la saba !!!

Reasoning capacity ya Mwanamke ni muhimu Sana kwenye ndoa.

Acha lasaba waonae wao kwa wao!!!
 
Mtu wakuzaa nae watoto lazima achaguliwe kwa umakini, bila hivyo unaweza juta sana mbeleni.

Ila kufika Form 4 sio kigezo maana hata kilaza anaweza akafika.
Mambo yamebadilika malezi Yamekuwa magumu Sana Kwa watoto wa kizazi hiki ni kweli ni muhimu kuangalia mtu wa kuzaa nae sio tu mwanamke hata mwanaume ulikosea step ndo umeangamia mazima maana uzao ukishakuwa wako haibadilishiki
 
Back
Top Bottom