Mna muda gani pamoja?nikarudisha mpira KWA kipa...nikamrudia yule niliyeanza naye KUANZIA chini nikiwa Sina kitu...mpaka sasa hivi Niko naye.
Nikaja na hii THEORY....OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA. hii nimeithibitisha Ina work
😄😄 kwamba kuchapiwa ni kilio hadi kwa madonDunia ya sasa we tafuta hela uzipate na asilimia kubwa ya malalamiko yako kuhusu wanawake yatakwisha……….isipokua Kuchapiwa tu 😂
Atakupenda kwa muda atabadilikaMwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Mkuu kuchapiwa ni kawaida sana haijalishi status yako…….. ni vile sisi wanaume wagumu kuukubali ukweli huu😄😄 kwamba kuchapiwa ni kilio hadi kwa madon
Mimi ndio nilifanya hivi... Ninae mtu anae nipendaMwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
Upendo wa kweli hauna mwishoAtakupenda kwa muda atabadilika
Do not trust women
Walioona mbali na kufanya tafiti walikuja na wazo la ndoa za mikatabaUpendo wa kweli hauna mwisho
Mkuu kuna msemo maarufu 'wanaume tumeumbiwa tamaa' yaani tamaa zetu za kimwili zipo juu kushinda wenzetu.Mkuu kuchapiwa ni kawaida sana haijalishi status yako…….. ni vile sisi wanaume wagumu kuukubali ukweli huu
Kama unavyoona kwetu wanaume kuchepuka ni kawaida sana……. Na kwa wanawake ni vivyo hivyo
Tofauti ni kwamba Mwanaume akijua anachapiwa huo mziki wake na ndoa inaweza kufa lakini mwanamke akijua ataishia kulia lia tu kwa sababu ya MFUME DUME uliopo
Mimi nilichogundua ni kwamba wanandoa wanatakiwa “KUHESHIMIANA” kwa kuhakikisha kama una mchepuko wako basi USIJULIKANE wala USIHARIBU kabisa ratiba za ndoa…….. hapo mtaishi kwa AMANI kabisa kila mmoja akiamini mwenzake kanyooka
Ila wewe unataka kumbadilisha kwa kuendekeza michepukoMimi ndio nilifanya hivi... Ninae mtu anae nipenda
Vijana wajifunze