In breeding sio nzuriNaumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.
Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.
Mawazo yangu tu hayo.
Ni WowaHivi ni OA au OWA??
Tuanzie kwanza hapo
Wakipata watoto na gamba la ndoa huwa wanabadilika wanaona mwanamume hana ujanja kiburi kinaanza kwamba sheria zinawalindaUsipoishi naye kwa akili, akishapata tu watoto, kiu yake na wewe jua imekwisha, linalofuata ni kukutanguliza muhusika mbele za haki, Ova.
Ni hohaNi oha
Mpunguze kulia liaHawana ujasiri wa kuandika wanahofia kushambuliwa kwa maneno makali ila vikiwazidi wanajimwaga hadharani.
Anzisha Uzi kuhusu wanaume tunaolialia bhasi 😁Mpunguze kulia lia
Tunaogopa kushambuliwa? Hatuna ujasiri?Hawana ujasiri wa kuandika wanahofia kushambuliwa kwa maneno makali ila vikiwazidi wanajimwaga hadharani.
Yeah wengine Hadi wabadili iD ziwe za kiume ndio wanashusha Thread.Tunaogopa kushambuliwa? Hatuna ujasiri?
Hapana ni hoaHapana ni hoha
Naunga mkono hojaNaumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.
Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.
Mawazo yangu tu hayo.
Upendo ngoja nimuulize hapa Bill get kama alikuwa hampendi Make wakeTuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.
Akili mtu wangu
AlimsalitiUpendo ngoja nimuulize hapa Bill get kama alikuwa hampendi Make wake
Uzi wa nini? tunawachana huku huku kwenye commentsAnzisha Uzi kuhusu wanaume tunaolialia bhasi 😁
Muoga 🤣🤣Uzi wa nini? tunawachana huku huku kwenye comments