Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]1. Umempata mwenza anaekidhi vigezo vyako vyovyote vile.
2. Unampenda kwa dhati mwenza wako
3. Una kipato cha kukuwezesha kulea familia
4. Moyoni kwa dhati kabisa unahisi ni wakati muafaka kuoa.
Usijidanganye utapata mwenza aliekamilika na asie na kasoro (perfect man or woman do not exist)
Usipende kusikiliza maoni ya watu san kwenye masuala ya kuoa na mapenzi( hata uzi huu usiutilie manani sana sikiliza moyo wako)
Utaskia mwanaume anasema "Nataka nioe kwasababu kupika pika, kuosha vyombo, kufua na kudeki nakereka sana, ngoja nioe"
Fikra za hiv bado hazijapevuka kuingia kweny ndoa.
wanaoa kwa sababu ni hatua tu ya maishawatanzania wengi wanaoa kwasababu hawapendi kufua wenyewe