O/D OFF icon in Automatic cars

Kingdom

Member
Joined
May 28, 2010
Posts
39
Reaction score
13
Salaam zenu wana jamvi,
Naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi wa kuendesha magari ya automatic wanisaidie kujua maana ya maandishi yanayowaka kwenye dash board yanayosomeka O/D OFF. Ni wakati gani maandishi haya yanatakiwa yawe yanawaka (active)? kwenye spidi kubwa au ndogo? Naomba wenye maujuzi wanielimishe hapa.
:israel:
 
kuna uzi humu jf umefafanua hilo kirefu. Ila kifupi,weka OD iwe on muda WOTE. Weka OD off pale tu unapopanda mwinuko au mlima mkali au unapotembea polepole huku ukiwa unatumia gia kubwa.
 
Nashukuru kwa maelezo hayo, nitautafuta huo uzi kwa ufahamu zaidi
 
Overdrive is the final gear of that gearbox. Simply when u see that O/D OFF it means your maximum speed it below the final drive. For instance if your car is 5speed gearbox automatic transmission, it means when the O/D OFF light is on then you will drive up to 4th gear. The theory is true if your car is a 6speed gearbox or 4speed gearbox O/D(Final drive minus one "FD - 1")

You can use it just like in manual transmission gearbox when you are in higher range(In this case the final drive)gear and you want to boost your speed for more acceleration during overtaking or going uphill just depress the O/D button.

Just like Swat said above, keep that button pressed throughout your drive but depress when you what a boost and then press it again to avoid inappropiate fuel consumption
 
Very well put..
 
Various remarks from another topic similar to this posted 2011 April 27th

OD inatakiwa kuwa on(button pressed) katika hali ya kawaida ila ukihitaji ku-cruise power zaidi ndo unadisengage..normaly the dashboard indicator should be off


Tusitake kuwa mainjinia wa magari, ni kwamba kwenye mizunguko ya kawaida weka overdrive on, isipokua kwenye vilima vikali! Tena inasaidia kupunguza fuel consumption.
 

Hiyo ni Overdrive wakati unapanda mlima unaweka OD na inakuwa off muda wote unatumia pia wakati kuna mchanga mwingi au matope ina maana inaipa nguvu zaidi gari
 
Various remarks from another topic similar to this posted 2011 April 27th

Hekimatele na wote ambao umewaquote, na wote waliochangia mada hii nawashukuru sana kwa sababu nimeelewa na naweza waeleza wengine ambao wanahitaji kujua jambo hili. Kweli JF ni "think tank"!!
 
Hiyo ni Overdrive wakati unapanda mlima unaweka OD na inakuwa off muda wote unatumia pia wakati kuna mchanga mwingi au matope ina maana inaipa nguvu zaidi gari

Hello picchu, si lazima uzime O/D ukiwa kwenye matope au michanga. Just shift ur lever to L au 2 hapo u will limit ur gears to low au first gear au second gear kama ni 2.

Muda mwingine unaweza kuona very steep hill and tires are slipping u cn limit ur gears to L or 2 to make it crawl depend on ur load capacity or surface terrain if the vehicle failed to go uphill
 
Hekimatele na wote ambao umewaquote, na wote waliochangia mada hii nawashukuru sana kwa sababu nimeelewa na naweza waeleza wengine ambao wanahitaji kujua jambo hili. Kweli JF ni "think tank"!!

Kingdom First hii unayozungumzia ni ile ya

  1. Matthew 13:24-25
[ The Parable of the Wheat and the Tares ] Another parable He put forth to them, saying: "The kingdom of heaven is like a man who sowed good seed in his field;

  1. Matthew 13:30-32
[ The Parable of the Mustard Seed ] Another parable He put forth to them, saying: "The kingdom of heaven is like a mustard seed, which a man took and sowed in his field,

  1. Matthew 13:32-34
[ The Parable of the Leaven ] Another parable He spoke to them: "The kingdom of heaven is like leaven, which a woman took and hid in three measures of meal till it was all leavened."

  1. Matthew 13:44
[ The Parable of the Hidden Treasure ] "Again, the kingdom of heaven is like treasure hidden in a field, which a man found and hid; and for joy over it he goes and sells all that he has and buys that field.

  1. Matthew 13:45
[ The Parable of the Pearl of Great Price ] "Again, the kingdom of heaven is like a merchant seeking beautiful pearls,

  1. Matthew 13:47
[ The Parable of the Dragnet ] "Again, the kingdom of heaven is like a dragnet that was cast into the sea and gathered some of every kind,

  1. Matthew 13:52
Then He said to them, "Therefore every scribe instructed concerning the kingdom of heaven is like a householder who brings out of his treasure things new and old."

  1. Matthew 18:23
Therefore the kingdom of heaven is like a certain king who wanted to settle accounts with his servants.

  1. Matthew 20:1
[ The Parable of the Workers in the Vineyard ] "For the kingdom of heaven is like a landowner who went out early in the morning to hire laborers for his vineyard.

  1. Matthew 22:2
"The kingdom of heaven is like a certain king who arranged a marriage for his son,

  1. Matthew 25:14
[ The Parable of the Talents ] "For the kingdom of heaven is like a man traveling to a far country, who called his own servants and delivered his goods to them.
 
I liked "The Parable of the Mustard Seed" , secrete of victory in life!
 
dah,safi sana wachangiaji.mie pia hii kitu imekuwa ikinichanganya mno.ahsanteni kwa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…