Nzi hata wawe wengi kiasi gani hawatengenezi asali: Mwigulu

Asubiri tarehe 16 atajua Chadema hapa Arusha ni Nzi au Nyuki. Mikakati yao yote tumeshaijua na hakika hawataiba kura hata moja na wakikaa vibaya Chadema wataiba za CCM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mmh mkuu ....I don't know about that. Hivi ni kweli hiyo opportunity ilishawahi kutokea na CCM wakaachia?

CC: Zitto, Ben Saanane, Tumaini Makene, Mwita Maranya, Mnyika, Slaa, Molemo, PakaJimmy, Crashwise.
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji kama wanavyoita kwa jina la uliberali.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai na maji taka huku wakiwategemea washabiki wa kisiasa kuwa wapiga kura wao.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
 
Asubiri tarehe 16 atajua Chadema hapa Arusha ni Nzi au Nyuki. Mikakati yao yote tumeshaijua na hakika hawataiba kura hata moja na wakikaa vibaya Chadema wataiba za CCM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ha ha ha ahaa, siku Chadema itakapofanikiwa kuiba hata kura moja ya ccm mie nakunywa sumu nitangulie mbinguni maana kazi kuikomboa inchi hii itakuwa imeisha..!
 
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus kashaga

Hayo maneno hata makamba aliyatamka kule tarime kwenye uchaguzi bda ya kifo cha wangwe kama anakumbukumbu vizuri. Lakini kilichotokea ilikua aibu m2 mzima alikimbia saa10 za ucku na msafara wake.
 
Alishatutukana watu wa Arusha kuwa ni mbwa. Na watu wa Arusha hawana muda wa kubishana naye, wamekubali kuwa ni mbwa na watakwenda kubweka kwenye sanduku la kura

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Watu wa Arusha ni kina nani hao wakati kwenye mikutano yake ya Arusha inakuwa na watu wengi tu. Inavyoonekana ni wewe peke yako ulilisikia hilo tusi kama siyo ndoto ulizoota zilizokufanya kuamini hivyo.
 
Atakimbia mchana kweupe kabla hata kura hazijaanza kuhesabiwa,kumbuka arumeru,chezea watu wa arusha wewe
 
ameemanisha
kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano
ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi.
aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura.
Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA
MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA
NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus
kashaga

maneno hayo sawa na upuuzi na huzungumzwa na watu wapuuzi ili kuwanufaisha bwana zao
 
Nilichokielewa hapa ni kuwa hata wapewe miaka mingi kiasi gani, CCM hawawezi kutuachia jambo la maana!
 
Cmm ni nzi ndio anachomaanisha sasa chadema ni nyuki asali lazima aile kabla hajaondoka Arusha

maana yake amekubali kukiri kuwa mikusanyiko ya chadema ina watu wengi zaidi kuliko mikusanyiko ya ccm
 
maana yake amekubali kukiri kuwa mikusanyiko ya chadema ina watu wengi zaidi kuliko mikusanyiko ya ccm

ni mikusanyiko ya nzi, hivi unajua maana tabia za nzi? unajua mahali ambako nzi huwa wanakusanyika kwa wingi kuna hali gani? penye nzi wengi kuna uvundo,mzoga au in general takataka
 
ni mikusanyiko ya nzi, hivi unajua maana tabia za nzi? unajua mahali ambako nzi huwa wanakusanyika kwa wingi kuna hali gani? penye nzi wengi kuna uvundo,mzoga au in general takataka
ndugu yangu naona umeamua kutoelewe, it is ok vyovyote utakavyoelewa. Hayo maneno ya kashfa yamekuja baada ya mwigulu kuona mikusanyiko ya chadema Arusha ina watu wengi zaidi ya mikusanyiko ya ccm, ingekuwa vinginevyo asingekuja na kauli hiyo, angekuja na kauli nyingine. Hiyo ni misemo inayotumika kumaananisha kitu kingine, haitafsiriwi kama unavyotafsiri wewe. Kama ungesoma vizuri kiswahili kuanzia shule ya msingi hadi O level tu ungeelewa, ni kwa nini anasema hivyo. Kwangu mimi huo msemo wa mwigulu unaashiria ushindi kwa chadema, sina matatizo nao,mwigulu ametambua ccm wana hali mbaya arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom