Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
- Thread starter
- #41
ndugu yangu naona umeamua kutoelewe, it is ok vyovyote utakavyoelewa. Hayo maneno ya kashfa yamekuja baada ya mwigulu kuona mikusanyiko ya chadema Arusha ina watu wengi zaidi ya mikusanyiko ya ccm, ingekuwa vinginevyo asingekuja na kauli hiyo, angekuja na kauli nyingine. Hiyo ni misemo inayotumika kumaananisha kitu kingine, haitafsiriwi kama unavyotafsiri wewe. Kama ungesoma vizuri kiswahili kuanzia shule ya msingi hadi O level tu ungeelewa, ni kwa nini anasema hivyo. Kwangu mimi huo msemo wa mwigulu unaashiria ushindi kwa chadema, sina matatizo nao,mwigulu ametambua ccm wana hali mbaya arusha.
hicho kiswahili ulichosoma basi hakijakusaidia, kama mpaka unashindwa kujua symbolism, basi kiswahili chako kipo hovyo! lazima uweze kuingia ndani sana kupata the intended meaning