Nywila Wangu....!!!πŸ˜πŸ˜πŸ’–πŸ’πŸ’‹

Nywila Wangu....!!!πŸ˜πŸ˜πŸ’–πŸ’πŸ’‹

Dadii ni huyu ninayemhahamu mie au tusije tukawa tunazungukana hapa!
 
Can’t wait for huo uzi wa Ngabu vs Dadii: comparisons and contrasts.

Hakika dunia ya JF itasimama kuzunguka kwenye mhimili wake kwa muda.

Hahahahahhahahaaaaa Jabuuuuu

Nimejisikia tuu kuimba....

Singida Dodoma ma ma ma ma ma
Tabora na Mwanza za za za za za za.....

Mtamu zaidi ya banana 🍌 na na na na na na .....
😜😜😜 kumbe na wewe una shauku ya uzi wa Ngabu vs Dadii eeehhh hehehehehehhe.

Usijali ntakuita kwanguvuu kama enzi zile.....

Monkey pie Ngabuuu....

Nyaniiiiiiiiiiii halafu natimua mniiooooπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Dadii ni huyu ninayemhahamu mie au tusije tukawa tunazungukana hapa!

Wewe unamfahamu yupi..!!? Mtaje nikwambie kama ndie au siye.

Kwani na wewe unamzungukia Kasie??!
 
Hheheheheheee najua sana kiu iliyopo juu ya Dadii...

Iko siku, na hiyo siku nahisi majukwaa mengine yatasimama kwa muda aahahahahahaa (natania looh)

Dadiiii, nywilaaa wanguu eeehhh, pitia hapa uone kiwi waliyonayo wana JF juu ya kukufahamu.

Ila nimemuahidi Nyani Ngabu kuwa siku nikipata wasaa ntaweka uzi wa Ngabu vs Dadii. Hii ni kwasababu watu wengi pai wamekuwa wakidhani Ngabu ndo Dadii...

Laah iko siku pia Dadii mwenyewe kwa ridhaa yake atajiweka wazi kuwa yeye ndo Dadii Kitoko utamu wa Kasie Matata.

Usijali bidada, mtamfahamu tuu wakati ukifika.

Kasinde.
Hapo itabidi ngabu afungue I'd mpya ajifanye ndo dadii teeh...

Kasie mishyiing yuu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo itabidi ngabu afungue I'd mpya ajifanye ndo dadii teeh...

Kasie mishyiing yuu bana

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahahahhaa Valeey mambooz, umenifurahisha looh. Ati Nyani atafungua ID mpya ajiite Dadii hehehhehehheee.

Jabuuuuuuuuu Nyani Ngabu njoo hukuuu. Unaona sasa...... ishaonekana utakuja na ID mpya inaitwa Dadii halafu useme wewe ndo Dadii heheheeee....maneno ya Valey hayo sio mie.

Halafu Valey kama tukifanya kweli mie na Ngabu nafasi yako ya uweka hazina ili palepale.

Ngoja mpwa wa Dr. Shika aje amwage kisukuma bin kiinglish heheheheheheee siimooooooo πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ

Missing you too Valey.
 
Yaani naandika alafu nafuta. Ngoja tuu nipite. ...[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Anawez kuwa ndiye ninayemfahamu,nitakupa mrejesho!

Haya, endelea kukisia na kuhisi hadi hapo utapokuwa tayari kutoa wasiwasi wako juu ya Dadii ni nani haswa.

Kasinde.
 
Yaani naandika alafu nafuta. Ngoja tuu nipite. ...[emoji125][emoji125][emoji125]

Watu mna mambo..... sasa si useme tuu....

Mnakwama wapi kwamfano..... au kuna mtu mnamuonea aibu...!!!

Haya endeleeni kukaa na madukuduku yenu moyoni mie na Dadii wangu kwa raha zetu tunadalikana tuu .....

Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma.....
Mtamu ka banana na na na na na na na....

Kasinde.
 
Watu mna mambo..... sasa si useme tuu....

Mnakwama wapi kwamfano..... au kuna mtu mnamuonea aibu...!!!

Haya endeleeni kukaa na madukuduku yenu moyoni mie na Dadii wangu kwa raha zetu tunadalikana tuu .....

Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma.....
Mtamu ka banana na na na na na na na....

Kasinde.
Niseme tuu, kumenoga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom