Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua


View: https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw

Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je, nani aweza kumuamini muongo?

Unaposema akatishwa hadi akaua maana yake maisha ya vijana waliouliwa kwako wewe sio ya muhimu sana!.

Akili za Mange ndio hizi, kwamba watu wameshakufa na mama zao wameachwa na majonzi moyoni bado akaendelea kuhamasisha maandamano mengine tena!.

Kwake yeye wale wote waliofariki hawakuwa wanastahili heshima, watanzania wakaona mbali haraka sana wakaamua kuachana na uendawazimu wake.
 
View attachment 3526889

Jana hiyo Tarime Nywinywi inaendelea
Maria Sarungi umebakia kuweka video za matukio ya huko nyuma, watu wamegundua kwamba wewe ni wakala wa damu za vijana wa kitanzania.

Ujinga wakati wa kwenda peke yake huwezi kumpata tena kijana mwenye utayari wa kupoteza maisha kwa malengo ya nyinyi wanaharakati ya kulipwa pesa za hao mabwana zenu wa Ulaya.
 
Back
Top Bottom