Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Picha hiyo hapo chini inaweza kukusaidia kujua aina za nywele ulizonazo. Njia nyepesi ya kujua aina ya nywele ulizonazo ni zikiwa zimeloa(wet). Zinapoanza kujikunja ndipo utajua aina za nywele ulizonazo. Picha ya chini (flat ironed) inaonyesha nywele zako zikiwa zimeWekwa relaxer.
*Katika hizo aina 4 za nywele nyeusi zimegawanyika katika hali kuu mbili*
1) NYWELE YA MAFUTA
2)NYWELE KAVU
NYWELE YA MAFUTA NI NYWELE AMBAYO UKISHIKA CHINI KWENYE NGOZI YA KICHWA (Kitaalamu wanaita SCALP) SIO PAKAVU..PANA MAFUTA MAFUTA HIVI (wanaita Sebum..Huu ni mchanganyiko wa mafuta na deadskin..n ..LAKINI PIA NYWELE HAIPAUKI HATA KAMA HUJAPAKA MAFUTA...
MTU MWENYE NYWELE YA MAFUTA ANAPATA TATIZO LA MBA LAKINI MBA ULE AMBAO UKO KAMA UKOKO HIVI.UMEGANDIA KABISA...HAYA NDO YALE MAFUTA NA NGOZI ILIYOKUFA VIKICHANGANYIKANA INATOKEA HUO MBAUTUNZAJI WA NYWELE YA MAFUTA.
1) Osha nywele mara kwa mara,si chini ya mara mbili kwa week.
Osha nywele zako kwa kutumia shampoo nzuri. Hapa nitazungumzia kidogo salons. Salon nyingi hawatumii shampoo zinazotakiwa kwenye nywele. Nyingine hata sio shampoo kabisa. Au kama ni shampoo zingine huwa zimechanganywa na maji Ushauri wangu; kama unaweza nenda na shampoo yako Kama huwezi kwenda na shampoo yako jaribu kumuuliza hair dresser waKo anatumia shampoo gani kisha i-google auitafute na kuichunguza kwanza. Kusafisha nywele kunasaidia ngozi yako ya kichwa kupata hewa na pia kuzipa
2)tumia deep conditioning products yaani zile zinazosafisha haswa ili kuondoa uchafu wote kwenye scalp..
Kwa Oriflame tumia SHAMPOO YA HAIR X RESTORE THERAPY ina antioxidants maalum kwa kuondoa uchafu na kutunza ngozi ya kichwa...na pia conditioner yake
Kwa ushauri/huduma whatsapp me/text to 0759827138
Sent using Jamii Forums mobile app