Zipake pico mkuu 😂😂Habari wana jf,
Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa
NakaziaUzi bila picha haututendei haki
🔨🔨🔨Nakazia
Mkuu unampa pole kwa uzee wakati alikua anasherehekea Birthday yake kila mwaka?uzee huo, pole sana
Kuna maneno mawili umetumia, sehemu za siri na kwapani, kwa kwapani ni kawaida ila huko sehemu za siri duh kipengeleHabari wana jf,
Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa