Nyunba inapangishwa Lindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyunba inapangishwa Lindi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ndamwe, Feb 1, 2012.

 1. Ndamwe

  Ndamwe Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna nyunba katika manispaa ia Lindi, eneo la Mtanda ambayo inapangishwa kuanzia mwezi wa Julai 2012. Pango lake ni US $ 250 kwa mwezi. Nyumba iko katika eneo la sqm 2200 na facilities za kuegesha gari, fensi, naji muda wote nk. Kwa watakaohitaji tafadhali waweza kupiga simu 075491226 AU 0788140488 AU 0715002999 kwa maelezo zaidi, au Email: ndamwe@gmail.com.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mkuu kumbe lindi maisha yapo juu hivyo/ maana heading nilidhani mtaa wa lindi ilala kwa wapemba
   
 3. n

  nasri Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu iyo nyumba ni ghorofa ya silipi au ni ikulu ndogo! maana huku kwetu lindi hakuna nyumba inayolipwa kwa dola, na wamwele na wamakonde hawajui kama kuna kitu kunaitwa dollar. Hadhi ya hiyo nyumba kwa lindi ni laki 2 tu, na tena labdauwapate wachina au NGO! sio mtu binafsi! Laki 4 kwa lindi labda nyumba moja ipo muhumbili ya jamma wa Tan road inaweza kuwa nathaani iyo na sio nyumbaza mtanda ambazo nyingi ni magofu tu!
   
Loading...